• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 8:55 PM

Wakulima Bondeni walia bei duni za viazi na kupunjwa na madalali

Na VITALIS KIMUTAI WAKULIMA wa viazi katika eneo la Bonde la Ufa wamelalamikia kushuka kwa bei ya zao hilo kutoka Sh 1,500 hadi...

Kaunti zahimizwa kukumbatia sheria ya kudhibiti upakiaji wa viazi

Na SAMMY WAWERU KAUNTI ambazo hazijakumbatia sheria ya kudhibiti upakiaji wa viazi mbatata zimehimizwa kuitekeleza. Katibu katika...

Wakulima wa viazi vitamu walalamikia bei duni

Na KENYA NEWS AGENCY WAKULIMA wa viazi vitamu kutoka Kaunti ya Elgeyo Marakwet wamelalamikia bei ya chini ya zao hilo huku wakiwakashifu...

LISHE: Ndizi na viazi

Na MARGARET MAINA [email protected] MATOKE ni chakula chenye asili ya kiganda. Hata hivyo, wanavyopika raia wa Uganda na...

Dereva anaswa kwa kukiuka sheria za usafirishaji viazi

Na WAIKWA MAINA POLISI katika Kaunti ya Nyandarua wamenasa lori moja na dereva wake kwa kukiuka sheria kuhusu usafirishaji wa...

Upanzi wa viazi kitaalamu

Na SAMMY WAWERU VIAZI mbatata ni zao la pili lenye walaji wengi nchini na katika Ukanda wa Afrika Mashariki, likitanguliwa na...

Sheria kuhusu viazi kuunganisha wadau

Na SAMUEL BAYA WADAU wote katika sekta ya kilimo cha viazi sasa watalazimika kuingia katika miungano wanapofanya shughuli...

AKILIMALI: Mbegu mpya za viazi kuwafaa wakulima

NA RICHARD MAOSI WAKULIMA wengi eneo la Bonde la Ufa wanafahamu tija inayotokana na upanzi wa viazi kwa kutumia mbegu halali...

Vijana wapatao 30 wazindua biashara ya kuchonga viazi Thika

Na LAWRENCE ONGARO VIJANA wapatao 30 mjini Thika wamezindua mradi wa kuchonga viazi na kuuzia wateja wao. Vijana hao wanaojiita...

Viazi vitamu: Vina faida kiafya na huu hapa utaratibu wa kuvipanda

Na SAMMY WAWERU VIAZI vitamu ni miongoni mwa viazi asili vinavyopendwa na wengi nchini na Afrika Mashariki. Ni vitamu kutokana sukari...

Mbegu mbovu zasababisha uhaba wa viazi nchini

Na WACHIRA MWANGI KENYA inakumbwa na uhaba wa tani 1.7 milioni za viazi kwa sababu ya wakulima wanatumia mbegu mbovu zisizotoa mazao...

AKILIMALI: Teknolojia mpya ya kukuza viazi inavyowapunguzia wakulima gharama

NA FAUSTINE NGILA HALI ya anga ni shwari katika maeneo ya Timau, Kaunti ya Meru wakati Akilimali inazuru mashamba mapana ya ngano,...