• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:50 AM

Bodaboda wavuna mafuriko yakileta masumbuko na msongamano Thika Road

NA LABAAN SHABAAN BARABARA ya Thika Superhighway ilikuwa na sura tofauti asubuhi Jumatano magari mengi yakikwama kwenye msongamano...

Wakazi wadai mrabaha kabla Base Titanium ifunganye virago

NA SIAGO CECE WAKAZI wa Kwale waliohamishwa ili kutoa nafasi kwa uchimbaji madini, wameitaka serikali kuharakisha kuweka mfumo...

Kenya Power kulipa Woolworths Sh500m kufidia hasara ya moto Nakumatt

NA RICHARD MUNGUTI KAMPUNI ya kusambaza umeme nchini (Kenya Power au KPLC) imeagizwa na Mahakama Kuu ifidie kampuni ya Woolworths,...

Waliouziwa mbolea feki waanza kulipwa fidia

BARNABAS BII Na KNA BODI ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB) imeanza kuwafidia wakulima waliouziwa mbolea feki. Mkurugenzi Mkuu wa NCPB,...

Shakahola: Korti yaagiza washukiwa wapewe taarifa za ushahidi

NA BRIAN OCHARO MAHAKAMA ya Mombasa imeagiza kuwa, washukiwa katika kesi ya vifo vya Shakahola wapewe arafa za ushahidi utakaotumiwa...

Polisi Kisii wanasa bangi ndani ya magari manne

NA WYCLIFFE NYABERI POLISI mjini Kisii wamenasa bangi ya thamani ya Sh37 milioni na kufanikiwa kumkamata mshukiwa mmoja. Mshukiwa huyo...

Natembeya atisha kufuta madaktari na kuajiri wapya kutoka Uganda

NA EVANS JAOLA GAVANA wa Trans Nzoia George Natembeya ametishia kuwafuta kazi madaktari wa kaunti hiyo wanaogoma na kuajiri wapya kutoka...

Mafuriko yazidi kutatiza maelfu onyo la mvua zaidi likitolewa

NA WAANDISHI WETU MAELFU ya watu wanateseka kwa kufurushwa makwao huku mvua kubwa inayonyesha kote nchini ikitabiriwa...

Wito Afrika izinduke kukabiliana na maradhi yasiyo ya kuambukiza

NA PAULINE ONGAJI akiwa DAR ES SALAAM, TANZANIA BARA la Afrika linakodolea macho hatari huku maradhi yasiyo ya kuambukiza yakitabiriwa...

Ogolla: Azimio yakaba serikali

Na WAANDISHI WETU MUUNGANO wa Azimio la Umoja-One Kenya sasa unataka uchunguzi wa kisheria uendeshwe kubaini chanzo cha ajali...

Waoga wa maji hawawezani na raha za kisiwa cha Lamu

NA KALUME KAZUNGU IKIWA wewe ni mzoefu wa mazingira ya kawaida, hasa nchi kavu, na iwapo unaogopa kujaribu mandhari mapya kama yale ya...

Wabunge kutoa heshima zao kwa marehemu Jenerali Ogolla

NA CHARLES WASONGA BUNGE la Kitaifa Jumatano litafanya kikao maalum cha kutoa heshima kwa marehemu Mkuu wa Majeshi (CDF) Jenerali...