• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 7:50 AM

Mioto kwenye mbuga za kitaifa zatishia utalii

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika sekta ya utalii wameitaka Wizara ya Utalii na Wanyamapori nchini kutangaza mikasa ya moto katika...

Kipchoge apanga njama ya kutia Bekele adabu London

Na GEOFFREY ANENE LICHA ya kuwa hajashindana kwa siku 300, mshikilizi wa rekodi ya dunia ya marathon za wanaume, Eliud Kipchoge anahisi...

DIMBA PWANI: Ghaib wanalenga soka kuu ya kaunti Kwale ikiwa ni nje ya maskani yao Samburu

Na ABDULRAHMAN SHERIFF INGAWA imetimiza mwaka wake wa 28 tangu kuundwa, Ghaib FC ya mjini Samburu, ni hadi msimu utakaoanza baadaye...

Kundi lawapa vijana mafunzo kama njia mojawapo ya kuzuia mimba za mapema

Na DIANA MUTHEU KUNDI moja la vijana katika Kaunti ya Mombasa limeanzisha mpango wa kuwapa mawaidha watoto kuhusu athari hasi za kufanya...

Waziri aitunuka sifa Kisumu kwa kiwango cha juu cha usafi

Na SAMMY WAWERU KAUNTI ya Kisumu imepongezwa kwa kudumisha usafi katika kiwango cha hali ya juu. Kati ya kaunti ambazo Waziri wa Afya...

UDAKU: Kipa mkongwe Neuer kanasa kimanzi tineja

Na MWANDISHI WETU KIPA matata wa Bayern Munich, Manuel Neuer amezua gumzo kubwa nchini Ujerumani baada ya kujinasia penzi motomoto la...

COVID-19: Amerika yashauri raia wake waepuke Kenya ikiwezekana

Na BENSON MATHEKA AMERIKA imeonya raia wake dhidi ya kutembelea Kenya ikisema kwamba wanakabiliwa na hatari ya kuambukizwa virusi vya...

Raila asukumwa awe Rais

Na WAANDISHI WETU SHINIKIZO za kumtaka kiongozi wa chama cha ODM, Bw Raila Odinga awanie urais zimeongezeka licha ya kigogo huyo wa...

HAWANA BAHATI: Barcelona na Bayern Munich kukabiliana katika robo fainali

Na MASHIRIKA BARCELONA, UHISPANIA OLE wao! Mmoja kati ya majabali wa soka duniani; Barcelona na Bayern Munich, hatashiriki nusu...

DIMBA: Kinda Jesus hana kifani, aenda mbali

Na GEOFFREY ANENE Unapowahesabu makinda wanaotoa kila ishara ya siku moja hivi karibuni kuondokea kuwa majabali katika kandanda, basi...

ODONGO: Magavana wasizuie wapinzani wao kuanzisha miradi

Na CECIL ODONGO IMEKUWA ni vuta nikuvute kati ya maafisa wa serikali wanaozindua miradi mbalimbali na baadhi ya magavana kuhusu siasa za...

MATHEKA: Ukatili kuchelewesha malipo ya Kazi Mtaani

Na BENSON MATHEKA ALIPOZINDUA mpango wa kazi mitaani, Rais Uhuru Kenyatta alisema kwamba lengo lake lilikuwa ni kulinda maelfu ya vijana...