• Nairobi
  • Last Updated December 8th, 2023 10:25 PM
Shehena ya kwanza ya mahindi ya manjano kutua leo Jumapili

Shehena ya kwanza ya mahindi ya manjano kutua leo Jumapili

BARNABAS BII Na ANTHONY KITIMO

SHEHENA ya kwanza ya mahindi ya manjano inatarajiwa kuingia nchini leo Jumapili.

Japo meli hiyo iliyobeba zaidi ya tani 42,000 za mahindi ya manjano inatarajiwa kufika nchini, hakuna dalili ya bei ya unga kushuka hivi karibuni.

Wasagaji mahindi wasema hiyo haitaleta tofauti yoyote kwani mahindi ya manjano hutumiwa zaidi kutengeneza vyakula hasa vya mifugo.

  • Tags

You can share this post!

Kenya yashinda riadha za Afrika Mashariki nchini Tanzania

TAHARIRI: Naibu Rais awafichue wafisadi wote

T L