• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Mung’aro aunga azma ya Kingi kuwa rais 2032

MAUREEN ONGALA Na VALENTINE OBARA GAVANA wa Kilifi, Bw Gideon Mung’aro, ameahidi kuunga mkono azma ya Spika wa Seneti, Bw Amason Kingi...

KIGODA CHA PWANI: PAA yayumba kuhusu itakayeunga kwa urais

NA PHILIP MUYANGA JE, msimamo wa chama cha Pamoja African Alliance (PAA) kuhusiana na uungaji mkono wa wagombeaji wa urais ni...

Kingi aonya wakazi dhidi ya kuuza ardhi na kubakia maskwota

Na ALEX KALAMA GAVANA wa Kaunti ya Kilifi Amason Kingi amewaonya wakazi dhidi ya kuuza ardhi zao kiholela na kuchangia mizozo ya ardhi...

Magavana wa Pwani wapata presha kali kuungana

ALEX KALAMA na VALENTINE OBARA SHINIKIZO imezidi kutolewa kwa magavana watatu wa Pwani waepuke kutengana katika uchaguzi...

Kingi awaacha wafuasi wake kwenye mataa

Na BRIAN OCHARO CHAMA cha Pamoja African Alliance (PAA), kinachoongozwa na Gavana wa Kilifi, Bw Amason Kingi, kimepanga kuandaa mkutano...

Kingi afunguka roho kuhusu PAA, uhusiano wake na Raila

Na PETER NGARE GAVANA Amason Kingi wa Kilifi ametetea hatua yake ya kubuni chama cha Pamoja African Alliance (PAA), akisema wakati...

Serikali iharakishe miradi ya Italia – Kingi

Na MAUREEN ONGALA GAVANA wa Kilifi, Bw Amason Kingi, ameomba serikali ya kitaifa iharakishe kuidhinisha maelewano na serikali ya Italia,...

Ni Ruto au Raila? PAA yajipata ikijikuna kichwa

Na BRIAN OCHARO CHAMA cha Pamoja African Alliance (PAA) kinachohusishwa na Gavana wa Kilifi Amason Kingi, sasa kimeanzisha mchakato wa...

Chama cha PAA chaahirisha uzinduzi

Na MAUREEN ONGALA CHAMA cha Pamoja African Alliance (PAA) kinachohusishwa na Gavana wa Kilifi Amason Kingi, kimeahirisha uzinduzi wake...

Maskini jeuri wakataa chakula kwa sababu ya siasa

Na MAUREEN ONGALA WAKAZI wa eneobunge la Ganze, Kaunti ya Kilifi, walisusia chakula cha msaada walichopelekewa na Gavana Amason Kingi...

ODM haitambui PAA, asema Mbunge

Na MAUREEN ONGALA CHAMA cha Pamoja African Alliance (PAA) cha Gavana wa Kilifi Amason Kingi kinazidi kupata upinzani mkali mashinani...

Kingi apuuzilia mbali shinikizo kumtaka ajiunge na Ruto

WACHIRA MWANGI na MAUREEN ONGALA GAVANA wa Kilifi, Bw Amason Kingi, amepuuzilia mbali wanasiasa wa Pwani ambao wamekuwa wakimshinikiza...