• Nairobi
  • Last Updated May 6th, 2024 10:55 AM

Ni KCPE kwa hofu vijiji vikichomwa kaunti ya Baringo

NA WANDISHI WETU WATAHINIWA katika baadhi ya shule Kaunti ya Baringo, Jumatatu walifanya mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) kwa hofu...

Madiwani wataka kupewa bunduki ‘kupambana’ na polisi

Na FLORAH KOECH MADIWANI wa Kaunti ya Baringo wanataka serikali iwape walinzi au kuwapa idhini ya kumiliki bunduki kama njia ya...

Wakazi wahofia vita vya jamii za wafugaji

Na FLORAH KOECH WAKAZI katika maeneo yanayokabiliwa na visa vya wizi wa mifugo katika Kaunti ya Baringo wameelezea hofu kwamba hatua ya...

MCAs wakabiliana wakijadili mswada wa BBI

Na WAANDISHI WETU FUJO zilizuka Alhamisi kwenye Bunge la Kaunti ya Baringo, madiwani waliporushiana makonde kutokana na mzozo kuhusu...

Wito afisi ya kijinsia ifufuliwe Baringo

NA GEOFFREY ONDIEKI Mwakilishi Mwanamke wa Kaunti ya Baringo Gladwell Cheruiyot ametoa wito kwa Inspekta mkuu wa polisi Hilary Mutyambai...

‘Idadi ya samaki Ziwa Baringo imepungua kwa kiwango cha kutisha’

Na MAGDALENE WANJA ASILIMIA kubwa ya mito inayotiririka kwenye Ziwa Baringo tayari imeanza kukauka. Hii ni kutokana na kuchelewa kwa...

Wachina watoa pombe kwa wenye njaa Baringo

Na FLORAH KOECH KIZAAZAA kilishuhudiwa katika kijiji kimoja kinachokumbwa na uhaba wa chakula katika eneo la Tiaty, Kaunti ya Baringo...

Hitilafu za vifaa kwenye uchaguzi mdogo Baringo Kusini

Na PETER MBURU SHUGHULI za uchaguzi mdogo wa eneobunge la Baringo Kusini zilianza Ijumaa alfajiri, huku visa vya baadhi ya vifaa vya...

Ghasia zatawala mchujo wa Jubilee Baringo

Na FLORAH KOECH GHASIA zilikumba mchujo wa chama cha Jubilee eneobunge la Baringo Kusini kabla ya aliyekuwa katibu wa tawi la Baringo wa...

Mitihani ya mwigo yapigwa marufuku Baringo

Na Florah Koech SERIKALI imepiga marufuku mitihani ya pamoja ya majaribio almaarufu ‘Mock’ katika shule za upili za Kaunti ya...