• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 8:57 PM

COVID-19: Kenya yathibitisha visa vipya 28 idadi jumla ikifika 649

Na SAMMY WAWERU KIPINDI cha saa 24 zilizopita Kenya imethibitisha visa 28 vya wagonjwa wa Covid-19 idadi jumla nchini ikifika watu 649...

COVID-19: Serikali yadokeza huenda ikaweka masharti makali

  SYLVANIA AMBANI na CHARLES WASONGA SERIKALI inatarajiwa kutangaza masharti mapya wakati wowote wiki hii, ya kudhibiti kuenea...

Jamii ya Wamakonde yalalama imetengwa katika ugavi wa chakula

Na MISHI GONGO JAMII ya Wamakonde wanaoishi eneo la Makongeni, Msambweni katika Kaunti ya Kwale, ina malalamiko kuhusu kutengwa katika...

Wafanyakazi wa mikahawa kupimwa corona kwa Sh2,000

Na CHARLES WASONGA WAMIKILI wa mikahawa na hoteli wamepata afueni kidogo baada ya Waziri wa Afya Mutahi Kagwe kutangaza kuwa watatozwa...

Kampuni ya Capwell Thika yaweka mikakati ya kukabiliana na corona

Na LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya Capwell Ltd mjini Thika imetoa mchango wake ili kuungana na mashirika mengine kusaidia vita dhidi ya janga...

Familia Limuru yabaguliwa ghafla kushukiwa corona

Na MARY WANGARI FAMILIA moja eneo la Limuru, Kaunti ya Kiambu sasa inataka serikali iwachukulie hatua walioeneza video na habari...

RITTENBERRY: Kampuni za Afrika zionyeshe utu kwa wafanyakazi wakati huu wa corona

NA JORDAN RITTENBERRY HUKU Covid-19 ikienea barani Afrika, ustawi wa biashara na viwanda umeshuka mno, kutokana na sheria za serikali za...

Corona yawaua Wakenya 18 ughaibuni

Na WANDERI KAMAU WAKENYA 18 ndio wamefariki ughaibuni kutokana na virusi vya corona, serikali imesema Jumanne. Katibu wa Wizara ya...

Corona yaongeza upweke wa Ruto

Na WANDERI KAMAU MASHARTI makali yaliyotangazwa na Wizara ya Afya kudhibiti kuenea kwa virusi hatari vya corona yanaendelea kumzidishia...

TAHARIRI: Tusilegeze kamba dhidi ya corona

Na MHARIRI HUKU Kenya ikionyesha dalili za kuanza kulegeza kanuni za kupambana na ueneaji virusi vya corona, inahitajika hamasisho...

Uhalifu umepungua kwa asilimia 50 – Kibicho

Na WANDERI KAMAU VISA vya uhalifu nchini vimepungua kwa asilimia 50 tangu serikali kuanza kutekeleza kafyu Machi, amesema Katibu wa...

Kenya kupoteza mabilioni kutoka kwa wanariadha kwa sababu ya corona

Na GEOFFREY ANENE WANARIADHA wa Kenya watapoteza zaidi ya Sh5 bilioni wanayopata mashindanoni kama tuzo za washindi, matangazo ya...