• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 3:16 PM

Mwanamume azuiliwa kujeruhi polisi kwa jiwe wakati wa kafyu

Na JOSEPH NDUNDA MWANAMUME anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Makongeni, Nairobi kwa kumgonga afisa wa polisi kwa jiwe na kumjeruhi...

Polisi kizimbani kwa madai ya kuua mtu wakati wa kafyu

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa Polisi alishtakiwa kwa mauaji ya mkazi wa mtaa wa Mathare, Kaunti ya Nairobi wakati wa kushika doria za...

Wabunge wataka amri ya kafyu isiwaguse

Na CHARLES WASONGA WABUNGE sasa wanataka wajumuishwe kwenye orodha ya wafanyakazi wa kutoa hudumu muhimu, wakilalama kuwa polisi...

Serikali yakataa kulegeza kanuni za kafyu mwezi wa Ramadhan

Na IBRAHIM ORUKO SERIKALI imekataa ombi la viongozi wa Waislamu la kutaka Wizara ya Afya ilegeze sheria za kafyu mwezi mtukufu wa...

Polisi wazidi kukaidi amri za kafyu

Na BENSON MATHEKA MAAFISA wa polisi wanaonyesha mfano mbaya kwa kuwa mstari wa mbele kukaidi kanuni zilizowekwa na Wizara ya Afya kuzuia...

Wanaosumbua polisi wakati wa kafyu waonywa

Na SAMMY WAWERU Rais Uhuru Kenyatta ametoa onyo kwa watu wanaohitilafiana na maafisa wa polisi katika jitihada zao kutekeleza kafyu. Rais...

KAFYU: Dereva aua polisi akihepa kunaswa na polisi mwingine

Na John Njoroge AFISA wa polisi alifariki Jumapili jioni akiwa kazini baada ya kugongwa na gari dogo lililokuwa likiendeshwa kwa kasi...

KAFYU: Familia zadai haki baada ya kujeruhiwa na polisi

NA KALUME KAZUNGU FAMILIA mbili, Kaunti ya Lamu zinadai haki kutendeka kwa watu wao waliopigwa na kuacha na majeraha mabaya na polisi...

KAFYU: Polisi na majambazi sasa wazidisha uhalifu

Na WAANDISHI WETU VISA vya ukiukaji wa amri ya kutotoka nje usiku na uhalifu vimeendelea kushuhudiwa maeneo tofauti nchini huku maafisa...

“Nimezoea maisha ya kafyu, biashara si mbaya vile’

Na GEOFFREY ANENE KAFYU inayolenga kuzuia uenezaji wa virusi vya corona imeathiri vibaya sekta nyingi za maisha kote duniani. Huku...

Seneta aunga mkono wito Wakenya wafungiwe nyumbani

BENSON AMADALA na VITALIS KIMUTAIĀ  SENETA wa Kakamega, Cleophas Malala, ameunga mkono kauli ya Chama cha Walimu Nchini (KNUT) kwamba,...

Uhalifu waongezeka wakati wa kafyu

Na ONYANGO K'ONYANGO VISA vya uhalifu vinazidi kuongezeka kwenye kaunti zinazopatikana Kaskazini mwa Bonde la Ufa hasa usiku wakati wa...