• Nairobi
  • Last Updated May 8th, 2024 3:41 PM

AKILIMALI: Amekitegemea kilimo cha mboga na nyanya kimapato kwa miaka kadhaa

Na PHYLLIS MUSASIA KIJIJI cha Kipsoni, Moiben, Kaunti ya Uasin Gishu si tofauti na maeneo mengine nchini. Wakazi wengi wa hapa...

KILIMO KITEKNOLOJIA: Bila teknolojia hii kama mkulima, hutavuna mazao yanayokupa tija

Na RICHARD MAOSI MFUMO wa kutekeleza kilimo kidijitali umekuwa ukipigiwa upatu kutokana na uvumbuzi wa kisasa unaoelekea kurahisisha...

AWINO: Mageuzi kuhusu mbolea yafaa, lakini mambo bado

Na AG AWINO TANGAZO la Waziri wa Kilimo Peter Munya kwamba amevunjilia mbali kundi la wafanyibiashara ambao wamekuwa wakiagiza mbolea...

KILIMOMSETO: Mbegu bora za nyanya zamvunia mamilioni ya hela

Na CHRIS ADUNGO KILIMO ni kazi inayohitaji kujitolea kwingi na kuwa na uvumilivu ili kupata manufaa yanayotokana nayo. Bw Njiru...

Jinsi unyunyiziaji maji utaisaidia Kenya mwongo ujao

NA RICHARD MAOSI Maeneo kame nchini yanaweza kugeuzwa kuwa kitovu cha uzalishaji wa chakula cha kutosha hasa mahindi na mboga, Kenya...

AKILIMALI: Alitoka jijini akajiimarisha mashambani kupitia kilimo

Na SAMMY WAWERU BAADA ya kuhitimu Stashahada ya Uhandisi katika masuala ya nguvu za umeme mwaka wa 1998 Bw John Muthee alihamia jijini...

Viongozi wamsifu Rais Kenyatta kuteua Munya Waziri wa Kilimo

Na Charles Wanyoro BAADHI ya viongozi wa Kaunti ya Meru wamekaribisha kupandishwa cheo kwa Waziri mpya wa Kilimo Peter Munya, wakisema...

Uhuru atangaza mikakati kufufua kilimo Mlimani

Na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta Jumanne alianzisha harakati za kuzima ghadhabu miongoni mwa wakazi wa eneo la Mlima Kenya kuhusu...

AKILIMALI: Mkulima anavyofaidi kutokana na ukuzaji na uuzaji wa ‘Asian kales’

Na PETER CHANGTOEK KWA miaka na mikaka, Kaunti ya Meru imekuwa ikijulikana kwa ukuzaji na uuzuji wa miraa. Hata hivyo, upo mmea...

Jinsi mboga aina ya spinachi zinavyompa mkulima faida

Na SAMMY WAWERU KWA muda wa zaidi ya miaka 20 mfululizo, Bw Charles Mwangi amekuwa akikuza mboga aina ya spinachi katika eneo la...

Taratibu muhimu za kilimo cha mahindi

Na SAMMY WAWERU MAHINDI pamoja na mchele, ngano, na ndizi ndiyo mazao manne yanayoliwa kwa wingi duniani. Ngano, mahindi na mchele,...

ARI YA UFANISI: Anafaidi wakulima kupitia kituo cha kuwaelimisha mbinu tofauti

Na PETER CHANGTOEK MVUA inayoendelea kunyesha na ambayo imepitiliza kiwango, katu haiwezi kumzuia Gachara Gikungu kuendelea kutoa...