• Nairobi
  • Last Updated May 12th, 2024 6:50 AM

Siogopi kurudi debeni – Alfred Mutua

Na VALENTINE OBARA GAVANA wa Machakos Alfred Mutua amesema haogopi kurudi kwa debe endapo Mahakama ya Juu haitakubali ombi lake la...

Madiwani Machakos wataka Spika awe Kaimu Gavana

Na STEPHEN MUTHINI MADIWANI wa Machakos sasa wanamtaka Spika wa bunge la kaunti hiyo Florence Mwangangi kutwaa wadhifa wa ugavana baada...

Niachie ugavana uingie mbio za Ikulu, Wavinya amwambia Mutua

Na STEPHEN MUTHINI ALIYEKUWA mgombeaji wa kiti cha ugavana Kaunti ya Machakos, Bi Wavinya Ndeti amemtaka Gavana Alfred Mutua aendeleze...

Mahabusu asimulia kortini alivyopelekwa benki na polisi kutoa Sh200,000 za hongo

Na KITAVI MUTUA MSHUKIWA wa wizi alishangaza mahakama moja Kaunti ya Machakos Jumatano, kwa kudai kwamba alitolewa seli za polisi na...

Wezi waliopiga kambi nyumbani kwa bwenyenye kwa wiki moja wanyakwa

Na KITAVI MUTUA WAKAZI wa mji wa Matuu, Kaunti ya Machakos, wameshangazwa na wezi ambao walipiga kambi kwa wiki moja katika boma la...

Esperance ya Tunisia yatua nchini kuchuana na Gor Machakos

Na GEOFFREY ANENE MIAMBA wa soka wa Tunisia, Esperance, wamewasili nchini Kenya kwa mchuano wa mkondo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya...

Jaji Odunga apelekwa Machakos majaji 17 wakihamishwa

Na RICHARD MUNGUTI JAJI mwenye tajriba ya juu, George Odunga , na anayesifika kwa maamuzi yake ya kihistoria amehamishwa hadi Mahakama Kuu...