• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 5:55 AM

Tiketi za SGR: DPP sasa aitisha faili za Wachina

Na PHILIP MUYANGA MKURUGENZI wa mashtaka ya umma Noordin Haji ameitisha faili ya raia watatu wa China waliokamatwa kuhusiana na...

Hofu mpya kuhusu madeni ya Uchina

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI Jumatatu ilikaa kimya kuhusu taarifa kuwa imepatia China uhuru wa kutwaa mali ya Kenya ipendavyo iwapo...

Bandari yetu haitatwaliwa, tutakopa zaidi kutoka Uchina – Uhuru

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta amekana madai kuwa Bandari ya Mombasa ilitumiwa kama dhamana kwa mkopo kutoka kwa Benki ya Exim...

DENI: Huenda Kenya ikapokonywa Bandari ya Mombasa na Uchina

NA BENSON MATHEKA KENYA imo hatarini kupokonywa bandari ya Mombasa na serikali ya Uchina ili kulipia sehemu ya deni kubwa ambalo...

MADENI: Kenya hatarini kupigwa mnada na Uchina

PATRICK ALUSHULA Na VALENTINE OBARA Kwa muhtasari: Huenda Uchina ikatwaa Bandari ya Mombasa,  JKIA, Reli ya SGR na ardhi Kenya...

Serikali yajiandaa kukopa mabilioni tena

Na VALENTINE OBARA WAKENYA wataendelea kukabiliwa na ugumu wa kimaisha kwa kipindi kirefu zaidi kutokana na uwezekano wa ushuru na...

Nusu ya mapato hutumika kulipa madeni

Na BERNARDINE MUTANU SERIKALI inatumia zaidi ya nusu ya mapato yote nchini kulipia madeni, ripoti ya Hazina Kuu imefichua.  Kati ya...

SYSTEM YA MADENI: Rotich alivyokopa kiholela

Na CHARLES WASONGA KUPANDA kwa madeni ya Kenya kutoka Sh1.77 trilioni mnamo 2013 hadi Sh5.1 trilioni mwaka huu, ndio chanzo cha masaibu...

Kopa Ruto tulipe deni la Sh5 trilioni, Wakenya wamshauri Uhuru

Na PETER MBURU HATUA ya serikali kutoza Wakenya ushuru zaidi ili kulipia madeni ya Sh5 trilioni iliyokopa na kufadhili bajeti ya Sh3...

‘Biashara ndogo, watu binafsi wamelemewa kulipa madeni ya benki’

Na BERNARDINE MUTANU DENI kubwa katika benki za humu nchini lilitokana na mikopo kwa watu binafsi na biashara ndogo. Deni hilo la...

Madeni yatisha kuhujumu ujenzi wa barabara kuunganisha miji

Na BERNARDINE MUTANU Huenda ujenzi wa barabara kubwa inayounganisha miji mikuu nchini moja kwa moja kwa gharama ya Sh350 bilioni ukakwama...

Ripoti ya mabilioni ya madeni yanyima Gavana Kinyanjui lepe la usingizi

[caption id="attachment_1227" align="aligncenter" width="800"] Gavana wa Nakuru Bw Lee Kinanjui akihutubu awali. Picha/...