• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 5:44 PM

Kuna njama fiche ya kuagiza mahindi ng’ambo – Keter

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Nandi Hills Alfred Keter amepinga madai ya baadhi ya wasagaji kwamba, kuna uhaba wa mahindi nchini akisema,...

Bei ya unga yapanda mahindi yakizidi kuadimika

Na BERNARDINE MUTANU WATENGENEZAJI wa unga wamepandisha bei ya unga huku upungufu wa mahindi ukiendelea kushuhudiwa nchini. Kampuni...

Aiba mahindi ya mke apate hela za kubet

Na DENNIS SINYO MBAI FARM, KITALE KALAMENI wa hapa alijipata kona mbaya alipofumaniwa akiiba mahindi ya mkewe ili ayauze apate pesa...

Mawakala bondeni wapunja wakuzaji mahindi mamilioni

Na BARNABAS BII WAKULIMA wa mahindi katika ukanda wa Kaskazini mwa Bonde la Ufa wamepoteza mamilioni ya pesa kwa mawakala walaghai ambao...

NCPB yapuuza agizo la Uhuru kuhusu mahindi

Na BARNABAS BII BODI ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB) imechelewa kuanza kununua mahindi kutoka kwa wakulima kama alivyoagiza Rais...

Wakulima watapeliwa mamilioni na watu waliojifanya kutoka UN

Na BARNABAS BII Wakulima wa mahindi eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa wamepoteza mamilioni ya fedha kupitia kwa walaghai waliofika eneo...

Gunia la mahindi kilo 90 linunuliwe kwa Sh2,500, aagiza Rais

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Alhamisi ameamuru Bodi ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB) kuanza kununua magunia 2 milioni ya...

Wakulima washtuka Rais hajapata ripoti ya mahindi

Na ONYANGO K’ONYANGO WAKULIMA na viongozi wa eneo la North Rift wameilaumu kamati iliyoteuliwa kuchunguza kashfa ya mahindi kwa...

Tunakungoja 2022, wakulima wamwambia Ruto

BARNABAS BII na CHARLES WASONGA WAKULIMA wa mahindi kutoka eneo la Rift Valley wamelalamikia kimya cha Naibu Rais William Ruto na...

Maajabu ya mahindi ya Sh7.6 bilioni kuozea kwa mabohari

Na DAVID MWERE MAGUNIA milioni nne ya mahindi yanayohifadhiwa katika maghala ya Bodi ya Kitaifa ya Mazao na Nafaka (NCPB) ni mabovu na...

MAHINDI TELE, UGALI GHALI

Mwangi Muiruri na Cecil Odongo HOFU ya kushtakiwa kwa maafisa wanaoshukiwa kuhusika katika sakata ya mahindi ndicho kiini kikuu cha...

SAKATA YA MAHINDI: Serikali ilivyopoteza mabilioni

Na CHARLES WASONGA SERIKALI ilipoteza mapato ya kima cha Sh16.7 bilioni wakati Hazina ya Kitaifa iliporuhusu uagizaji mahindi kutoka nje...