• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 7:50 PM

Wakazi walilia Gavana Kingi awape maji

Na CHARLES LWANGA WAKAZI wa Malindi na Watamu, Kaunti ya Kilifi wamelalamikia uhaba wa maji unaokumba kaunti hiyo ya kitalii na kumtaka...

Kiu kuzidi Pwani mradi wa Mzima ukikwama

Na LUCY MKANYIKA WAKAZI wa Pwani watalazimika kusubiri kwa muda mrefu kutekelezwa kwa mradi wa bomba la pili la Mzima kutokana na uhaba...

Wakazi wa Mokowe katika kaunti ya Lamu wakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji

Na KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wakazi 3,000 wa kijiji cha Mokowe na maeneo jirani, Kaunti ya Lamu wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji...

Wakazi waombwa kuhifadhi maji na chakula kwa matayarisho ya msimu wa kiangazi

Na MISHI GONGO MAAFISA wa asasi muhimu wanawataka wakazi wa maeneo ya Pwani na kote nchini kuhifadhi chakula cha kutosha kuepuka baa la...

Kemikali ya pombe yanaswa kwenye lori la maji

Na CHARLES WASONGA MAAFISA wa Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru Nchini (KRA) wakishirikiana na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI)...

Wakazi Nairobi kuzidi kukosa maji

Na CHARLES WASONGA WAKAZI wa Nairobi wataendelea kukabiliwa na uhaba wa maji bidhaa hiyo ikisambazwa kwa vipimo hata ingawa mabwawa ya...

Wakazi wa Pwani waliojenga katika mikondo ya maji kuhama

Na MISHI GONGO MSHIRIKISHI wa Kanda ya Pwani Bw John Elungata amewaonya wakazi wanaoishi karibu na mikondo ya maji, na akawataka wahamie...

Wakazi wa baadhi ya vijiji Lamu walazimika kutumia maji ya chumvi

Na KALUME KAZUNGU UHABA wa maji umewasukuma wakazi wapatao 600 wa vijiji vya Kiangwe na Mararani, Kaunti ya Lamu kutumia maji ya chumvi...

Maji ya mafuriko kutoka Ethiopia yaitikisa Lamu

Na KALUME KAZUNGU MAMIA ya wakazi kwenye vijiji vilivyoko msitu wa Boni, Kaunti ya Lamu wameathirika na mafuriko yanayosababishwa na...

Makueni yaahidiwa maji safi kutoka Mzima Springs

Na PIUS MAUNDU SERIKALI inapanga kusambaza maji kutoka chemchemi ya Mzima hadi Kaunti ya Makueni, kwa mujibu wa Waziri wa Maji, Bw Simon...

Kitengela ni mahangaiko tele ya maji

Na SAMMY WAWERU KITENGELA inapatikana katika Kaunti ya Kajiado na ni eneo linalokua kwa kasi hasa kwa sababu ya mradi wa reli ya kisasa...

Wakazi wa Ngoliba waahidiwa kupata maji safi

Na LAWRENCE ONGARO UHABA wa maji katika eneo la Ngoliba, Thika Mashariki, katika Kaunti ya Kiambu unatarajiwa kwisha hivi...