• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 3:31 PM

MALENGA WA WIKI: Kauli za washairi nguli kuhusu adabu za utunzi wa mashairi ya malumbano

Na HASSAN MUCHAI BILA shaka, tungo zinazohusiana na ulumbi mara zote, aghalabu huvutia halaiki kubwa ya washairi kuliko tungo za...

‘Malenga Msafiri’ ni dereva wa masafa marefu ila hakosi pia kutunga mashairi

Na HASSAN MUCHAI FRANK Orina anayetumia lakabu 'Malenga Msafiri’ ni msafiri kweli. Ni dereva wa magari ya uchukuzi na daima amekuwa...

MALENGA WA WIKI: Mwangi Wanjiru ni miongoni mwa vijana waliozamia uandishi wa mashairi

Na HASSAN MUCHAI MWANGI Wanjiru almaarufu ‘Malenga Msanifu’ ni mzawa wa Kaunti ya Nyandarua eneo bunge la Ndaragwa. Yeye ni...

MALENGA WA WIKI: Tungo za Muyaka zilikuwa chachu ya uandishi wa Boukheit Amana

Na HASSAN MUCHAI MAISHA yake ya utotoni, Boukheit alikua kama watoto wengi wa pwani. Michezo yao huwa aghalabu inahusiana na bahari....

MALENGA WA WIKI: Walibora aendelea kukumbukwa kwa mchango wake muhimu kukuza Kiswahili

Na HASSAN MUCHAI JUMAMOSI, ilikuwa siku ya maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha mwandishi nguli Ken Waliaula maarufu kama Ken...

MALENGA WA WIKI: Ali Mtenzi, mshairi stadi anayetamba pia katika uanahabari

Na HASSAN MUCHAI JUMA Ali Mtenzi aliyejulikana awali kama Maskini Jeuri na baadaye Ustadh Mtenzi ni mshairi na mwanahabari shupavu...

MALENGA WA WIKI: Kutana na Juma Mrisho ‘Ustadhi Chapuo’ aliyekuwa mwiba wa kulumbana

Na HASSAN MUCHAI Kiokotwe kaokotwa, kiokotwa cha thamani, Kwapani kakifumbata, hali yake afueni, Kiokotwa kinameta, chavutia...

Wasanii mashuhuri waliofariki 2020 hivyo kuacha pengo kubwa katika fasihi yakiwemo majukwaa ya utunzi na ulumbi wa mashairi

NA HASSAN MUCHAI MWAKA 2020 tulipoteza watu mashuhuri nchini na mataifa ya kigeni. Jukwaa la ushairi na Kiswahili kwa jumla...

MALENGA WA WIKI: Kifo cha Sudi Kigamba ni pigo kwa tasnia ya ushairi na taaluma ya Kiswahili

Na HASSAN MUCHAI MAREHEMU Al- Haji Sudi Kigamba aliyejulikana kwa lakabu ya ‘’Mwanamrima’’ alikuwa na mambo mawili aliyotaka...

MALENGA WA WIKI: Alipata hamasa ya ushairi kwa kakake, akageuka gwiji

Na HASSAN MUCHAI HASSAN Pojjo amekuwa mshiriki mkuu kwenye tasnia ya uandishi kwa miaka mingi na ni mshairi mshairi mtajika. Pojjo...

Nassor Kharusi: Mazingira ya Zanzibar yalipalilia kipaji changu cha ushairi

Na HASSAN MUCHAI NASSOR Hilal Kharusi ni nembo ya ushairi na mpenzi mahiri wa magazeti ya Taifa Leo na Taifa Jumapili. Mzaliwa huyu...

MALENGA WA WIKI: Lemmy Karisa aliusia wanawake wakipenda wasisite kusema

Na HASSAN MUCHAI LEMMY Chengo Karisa anayetumia lakabu yake “Siko Mbali’’ ni mshairi mkongwe kutoka Kaunti ya Kilifi ambaye...