• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 11:33 PM

Madaktari wa mitishamba wasifu marufuku ya ukataji miti

Na TTUS OMINDE MADAKTARI wa mitishamba kutoka eneo la North Rift wamesifia marufuku ya ukataji miti katika misitu ya umma kote...

MAKALA MAALUM: Wageukia magari ya serikali kusafirisha miti ili wasikamatwe

Na BERNADINE MUTANU TANGU kupigwa marufuku kwa ukataji wa miti na uchomaji makaa, wafamyibiashara wa bidhaa hizo wamelazimika kuja na...

Wakazi wa Lamu watakiwa kupanda miti maeneo wanakoishi

NA KALUME KAZUNGU SHIRIKA la Uhifadhi wa Misitu (KFS) katika Kaunti ya Lamu limehimiza wakazi kujihusisha na upanzi wa miti kwenye maeneo...

‘Si lazima ukate miti ndipo uchome makaa’

Na PAULINE ONGAJI KATIKA enzi hizi ambapo kumekuwa na uharibifu wa mazingira kwa sababu ya ukataji miti, anatoa suluhu kwa kuunda makaa...

Biashara haramu ya makaa inayowafaidi Al-Shabaab msituni Boni yazimwa

NA KALUME KAZUNGU MAAFISA wa usalama katika kaunti ya Lamu wamefichua kuwa biashara haramu ya makaa na upasuaji mbao unaoendelezwa kwenye...

Hatari nchi kugeuzwa jangwa kufuatia ukataji wa miti kiholela

Na BENSON MATHEKA KENYA inakabiliwa na hatari ya kugeuka jangwa ikiwa ukataji miti kiholela, uchomaji makaa na uzoaji changarawe mitoni...

Watu kadhaa wanaswa kuhusu ukataji wa miti

Na BARNABAS BII TAASISI ya Huduma za Misitu (KFS) Jumapili ilinasa watu kadhaa waliopatikana wakikata miti kiharamu katika Msitu wa...

Uchomaji makaa wapigwa marufuku Narok

Na GEORGE SAYAGIE SERIKALI ya kaunti ya Narok, imepiga marufuku uchomaji wa makaa kwa muda usiojulikana kufuatia ukataji miti katika...

TAHARIRI: Mti gani utapevuka kwa miezi mitatu?

[caption id="attachment_2135" align="aligncenter" width="800"] Naibu Rais Bw William Ruto. Ameweka marufuku ya siku 90 dhidi ya ukataji wa...

Serikali yapiga marufuku ukataji wa miti kwa siku 90

Na VALENTINE OBARA Kwa ufupi: Amri hiyo ilitolewa na Naibu Rais William Ruto, wakati ambapo athari ya kiangazi inazidi kushuhudiwa...

ONYANGO: Kenya itakuwa jangwa tusipolinda misitu kwa makini

[caption id="attachment_1400" align="aligncenter" width="800"] Magunia ya makaa. Huenda Kenya ikawa jangwa iwapo uakataji wa miti kiholela...