• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 7:47 PM

PAUKWA: Bobu amtoa kijasho Harara baraza la wazee

NA ENOCK NYARIKI MBUZI wa Babu Nyakebagendi walikuwa wameshiba na kuning’iniza vitumbo vyao upande wa kulia na kushoto kama sogi...

PAUKWA: Ajabu ya Tundu ‘mfu’ kuwatokea wanakijiji

NA ENOCK NYARIKI MOYO wa Bwana Farijala uling’oka alipoona upindo wa nguo ya mwanawe kwenye mshumbi uliokuwa umetengenezwa na ndovu...

PAUKWA: Ndovu kabomoa nyumba, majirani wamsaka Tundu

NA ENOCK NYARIKI TUNDU alipoona maisha yake yamo hatarini, alichupa kupitia dirishani na kujichoma kwenye migomba. Bahati yake ni...

PAUKWA: Bahati amtapikia mamaye nyongo

NA ENOCK NYARIKI “KWA nini kila wakati baba hapendi kutimiza ahadi yake?’’ Bahati alimuuliza mama yake baina ya kilio cha...

PAUKWA: Bahati machozi tele kwa aibu ya mamaye

NA ENOCK NYARIKI MAMA yake Bahati alisimama kwenye uwanja wa shule huku amezubaa na kutunduwaa. Alitazama jinsi watoto wengine...

PAUKWA: Bahati aonea soni kovu usoni pa mama

NA ENOCK NYARIKI SAA nne asubuhi, wazazi walianza kuingia shuleni kwa siku ya wazazi ambayo wanafunzi wa Tunu waliihamu sana. Baadhi...

PAUKWA: Bahili akausha boda na kuipapia probox

NA ENOCK NYARIKI MATATU aliyoabiri Bwana Bahili ilitoka kwenye stani ya Kanyumba ikateleza kwenye barabara ya kuelekea...

PAUKWA: Mzee Yumbayumba aokolewa na wafugaji

NA ENOCK NYARIKI WAKAZI wa Mbolei walishurutika kukesha kwenye kituo cha biashara cha Getoga. Jitihada za kumnusuru Mzee Yumbayumba...

PAUKWA: Ulevi wamtosa mzee Yumbayumba majini

NA ENOCK NYARIKI MZEE Yumbayumba aliendelea kubwabwaja bwa bwa bwa kama bomba la maji taka lililopasuka huku akielekea...

PAUKWA: Fantasia inavyokuza ubunifu wa watoto

Na ENOCK NYARIKI UDHAIFU mmoja unaotokana na mifumo ya elimu ni kusisitiza mno uhalisia katika uandishi hasa ule unaolenga...

PAUKWA: Getore afumaniwa akichoma makaa

Na ENOCK NYARIKI ASUBUHI na mapema, Getore aliingia katika msitu wa Getacho akavitengatenga vichaka vilivyoenea chini ya miti ili kupata...

PAUKWA: Biashara Haramu ya Titi (sehemu 5)

Na ENOCK NYARIKI “KWENU ni wapi?’’ afisa kwenye zamu katika kituo cha polisi alimuuliza Machugachuga. “Masosa. Kwetu ni...