• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 11:39 AM

Mabwanyenye waongezeka kwa kasi nchini licha ya uchumi kuyumba

Na BERNARDINE MUTANU LICHA ya kutatizika kiuchumi kwa sababu ya ukopaji kiholela na ufisadi serikalini, Kenya imeorodheshwa miongoni mwa...

FUNGUKA: Nachuuza mke wangu nipate hela

  Na PAULINE ONGAJI Japo mwanzoni nilionekana kukerwa na tabia hii, mke wangu alinishawishi akisema kwamba ingekuwa fursa murwa ya...

Matrilioni ya pesa sasa hutumwa kwa simu

Na BERNARDINE MUTANU Biashara kwa kutumia simu imeendelea kuimarika nchini. Kufikia Desemba 31, 2017, Sh1.1 trilioni zilitumwa au...

TAHARIRI: Magavana waelezane ukweli kwenye kongamano

Na MHARIRI KILA mwaka, magavana hukutana kwenye kongamano la kutathmini hatua walizopiga tangu ugatuzi uanze rasmi mwaka 2013. Mwaka...

Kutoa pesa ukitumia Paypal sasa utatozwa ada ya 1%

Na BERNARDINE MUTANU Benki ya Equity imezindua ada mpya za malipo kwa wateja wa PayPal wanaotoa fedha kwa kutumia akaunti ya benki...

Ruto afuta ziara ya harambee katika shule ambako wazazi wanapunjwa

Na NDUNGU GACHANE NAIBU Rais William Ruto, amefutilia mbali ziara ya Shule ya Upili ya Murang’a ambapo alitarajiwa kuongoza mchango...

Wazee wateta kunyimwa hela kwa sababu ya vidole chakavu

Na FADHILI FREDRICK BAADHI ya wazee wanaofaidika kutokana na mpango wa pesa kila mwezi kupitia mpango maalum wa serikali kutoka kaunti...

Barclays yazindua apu kuwapa wateja mikopo

Na BERNARDINE MUTANU Benki ya Barclays imezindua matumizi ya teknolojia ya simu ambayo yatasaidia wawekezaji wadogo kupata mikopo kwa njia...