• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 10:50 AM

RISSEA: Kituo kinachohifadhi utamaduni wa jamii za Pwani

NA RICHARD MAOSI RISSEA (Research Institute of Swahili Studies of East Afrika) ni taasisi ambayo ilibuniwa mnamo 1992 ili kuhifadhi...

Uhuru aahidi wapwani vinono

Na ANTHONY KITIMO na ALLAN OLINGO KAUNTI zote sita za Pwani zitafaidika pakubwa baada ya Rais Kenyatta kuahidi kuanzisha na kutekeleza...

JAMVI: Kimya cha vigogo wa kisiasa Pwani chatisha wafuasi

Na BENSON MATHEKA KIMYA cha vigogo wa kisiasa eneo la pwani kimeshangaza wengi huku mikutano ya viongozi wanaomezea urais eneo hilo...

JAMVI: ‘Masimbajike’ wa Pwani walivyogeuka mahasimu wa kisiasa

Na SAMUEL BAYA SIASA ziliwaleta pamoja na inaonekana siasa hiyo hiyo sasa inawatenganisha. Hiyo ndiyo taswira kamili katika mienendo ya...

JAMVI: Sababu kuu za pwani kulemewa kujibunia chama kimoja thabiti

KALUME KAZUNGU na CHARLES WASONGA MASWALI mengi yameibuliwa kuhusu sababu ya eneo la Pwani kutokuwa na chama kimoja cha kisiasa ambacho...

JAMVI: Mwamko mpya Pwani wabunge wakiazimia kuzindua chama kipya

Na SAMUEL BAYA Baada ya kugundua kwamba huenda eneo la Pwani likabakia nyuma kimaendeleo, wanasiasa wa eneo hilo sasa wameamua kufufua...

Mbunge apinga pendekezo la chama kipya Pwani

Na CHARLES LWANGA MBUNGE wa Magarini Michael Kingi amepinga wito wa viongozi kujiunga na Chama cha Umoja Summit Party of Kenya (USPK)...

JAMVI: Kushindwa kudhibiti Pwani ni dalili Joho hatoshi kuwania Urais 2022

Na CHARLES WASONGA MVUTANO unaendelea kati ya serikali ya Gavana Hassan Joho na bunge la kaunti hiyo huenda ikaathiri ndoto zake za...

Pigo kuu kwa Ruto Pwani Kingi kuungana na Joho

KAZUNGU SAMUEL na AHMED MOHAMMED GAVANA wa Kilifi Amason Kingi ambaye amekuwa mstari wa mbele kupigia debe ziara za Naibu Rais William...

KURUNZI YA PWANI: Kampeni ya kuangamiza unywaji wa pombe haramu yaanza

Na HAMISI NGOWA VIONGOZI wa kidini pamoja na mashirika ya kijamii kwa ushirikiano na maafisa wa utawala katika eneobunge la Likoni...

Aisha Jumwa alazwa kwa mshtuko wa kulaki mwili wa kaka yake

Na CHARLES LWANGA AFYA ya Mbunge wa Malindi Aisha Jumwa inaendelea kuimarika tangu alazwe hospitalini baada ya kupokea mwili wa kakake...

KURUNZI YA PWANI: Miraa inavyovunja ndoa baada vijana kukosa nguvu chumbani

Na WINNIE ATIENO Ndoa nyingi zimeathirika katika kaunti ya Mombasa huku vijana waliofikisha umri wa kuoa wakishindwa kufanya hivyo...