• Nairobi
  • Last Updated May 7th, 2024 9:48 PM

Pwani watishia kupinga BBI

Na CHARLES WASONGA VIONGOZI wa Pwani sasa wanatisha kupinga ripoti ya Mpango wa Maridhiano (BBI) ikiwa mfumo mpya wa ugavi wa fedha...

KURUNZI YA PWANI: Elungata aelezea Wapwani haja ya kushirikiana na maafisa maeneo mpakani yasalie salama

Na WINNIE ATIENO MSHIRIKISHI wa eneo la Pwani Bw John Elungata na afisa wa uhamiaji Bi Jane Nyandoro wamewaonya wakazi wanaoishi...

Pwani wasaka dawa ya corona mitini

Na MISHI GONGO WAKAZI katika maeneo tofauti ya Pwani wameanza kutumia dawa za miti-shamba wakiamini zitawakinga wasiambukizwe virusi vya...

CORONA: Nairobi na Pwani hatarini zaidi

NA WAANDISHI WETU KENYA sasa ina wagonjwa 25 wa virusi vya corona baada ya waziri wa Afya Bw Mutahi Kagwe kutangaza visa vingine 9 hapo...

DIMBA PWANI: Karate inavyozua msisimko licha ya vizingiti vya udhamini

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KARATE ni mojawapo ya michezo ambayo inaendelea kupata umaarufu katika jimbo la Pwani na hasa katika Kaunti ya...

Viongozi sasa walia Rais amewatenga Wapwani

SIAGO CECE na CHARLES LWANGA WANASIASA wanaomuunga mkono Naibu Rais William Ruto, wachanganuzi wa siasa na viongozi wa kidini katika...

Yaibuka ukafiri husukuma vijana kuua wazee

Na CHARLES LWANGA UKAFIRI na ukosefu wa msingi mwema wa kidini umedaiwa kuwa chanzo cha mauaji ya wazee kwa shutuma za uchawi na...

Magavana wa Pwani sasa wazika tofauti zao

Na CHARLES LWANGA MAGAVANA sita wa kaunti za eneo la Pwani, wameamua kuweka kando tofauti zao za kisiasa ili kukuza uchumi wa ukanda huo...

Krismasi: Hali ya usalama yaimarishwa Pwani

SIAGO CECE na WINNIE ATIENO SERIKALI imezidi kuimarisha usalama katika eneo la Pwani wakati huu wa msimu wa likizo ya sherehe za...

PWANI: Wanawake waombwa kukubalia waume kuoa wake wengi

Na MOHAMED AHMED WANAWAKE wa Pwani wamehimizwa kuwakubalia waume zao kuoa wake zaidi ya mmoja ili kuwezesha kuongezeka kwa idadi ya watu...

SENSA: Pwani walegea chumbani

Na MOHAMED AHMED ENEO la Pwani limo kwenye hatari ya kuendelea kubaki nyuma kimaendeleo na kisiasa kutokana na wakazi wake kukosa kutia...

Balala alaumu Bandari, CFS kwa ulanguzi wa mihadarati

Na WINNIE ATIENO WAZIRI wa Utalii na Wanyamapori, Najib Balala amelaumu Bandari ya Mombasa na sehemu za kuhifadhi makasha (CFS) akidai...