• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 9:11 AM

SAKATA YA NYS: Orodha kamili ya samaki wote waliovuliwa katika ziwa la ufisadi

Na VALENTINE OBARA KUFUATIA sakata ya NYS ambapo Sh9 bilioni zilitoweka katika hali isiyoeleweka, idara ya upelelezi ikishirikiana na...

SAKATA YA NYS: Orodha ya washukiwa waliokamatwa Jumatatu

FAUSTINE NGILA na STELLA CHERONO  MAAFISA wa upelelezi Jumatatu asubuhi wamekuwa mbioni kuwakata washukiwa washukiwa wakuu wa wizi wa...

Waliotafuna mabilioni ya NYS kuanza kukamatwa

Na VALENTINE OBARA WAHUSIKA wakuu kwenye sakata ya ufisadi katika shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) wanatarajiwa kuanza...

Disaina matatani licha ya kurudisha mamilioni aliyotumiwa na NYS kimakosa

Na BERNADINE MUTANU DISAINA mmoja wa fasheni za mavazi amejipata matatani katika sakata ya Huduma ya Kitaifa ya Vijana (NYS) kwa sababu ya...

Sakata ya NYS: Waziri Kariuki aitwa bungeni kuelezea pesa zilivyotoweka

Na LUCY KILALO WAZIRI wa Afya ambaye aliwahi kuhudumu kama Waziri wa Utumishi wa Umma, Jinsia na Vijana, Sicily Kariuki, amehitajika...

TAHARIRI: Ufisadi wa kiwango hiki utaiponza nchi

Na MHARIRI Matukio ya hivi majuzi nchini yamedhihirisha uozo ambao umekithiri katika taifa ambalo limekumbwa na visa mbalimbali vya...

SHOKA LA NYS: Wote wanaochunguzwa watumwa likizo ya lazima

Na VALENTINE OBARA MAAFISA wote wanaochunguzwa kuhusiana na sakata ya ufisadi wa Sh9 bilioni katika Shirika la Huduma ya Vijana kwa...

Waliotajwa kwa sakata ya NYS wajiuzulu wasitatize uchunguzi – Mbadi

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumatano ametakiwa kuwauliza maafisa waliotajwa katika kashfa ambapo Sh9 bilioni zilipotea katika...

Wizara ya Afya yasema haijui ziliko Sh11 bilioni

Na BERNARDINE MUTANU Wizara ya Afya imeshindwa kuelezea zilikoenda au zilivyotumiwa Sh11 bilioni ilizopewa. Ripoti hii ni kwa mujibu wa...

NLC yashindwa kuelezea ziliko Sh2 bilioni

[caption id="attachment_1795" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi Dkt Muhammad Swazuri. Picha/...

Ndani miaka 25 kwa kufuja pesa za CDF

Na GERALD BWISA MAHAKAMA moja ya Kitale Jumanne iliwahukumu wanachama wawili wa iliyokuwa kamati ya usimamizi wa fedha za Hazina ya CDF...

Sakata mpya ya mahindi serikalini yawaletea wakulima hasara kubwa

Na WAANDISHI WETU Kwa ufupi: Sehemu ya Sh7.1 bilioni zilizotengwa kwenye bajeti ya 2017/2018 kununua mahindi kutoka kwa wakulima...