• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 10:15 PM

SHINA LA UHAI: Kasoro ya kimaumbile imemnyima shangwe maishani

Na PAULINE ONGAJI ALIGUNDUA kwamba hakuwa na viungo vya uzazi akiwa na umri wa miaka 17. Naam, Julian Peters, alizaliwa bila viungo...

SHINA LA UHAI: Mbu ‘wapya’ wanaotishia wakazi mijini

Na LEONARD ONYANGO WAKATI wa likizo ya Aprili mwaka 2019 Jane Wesonga ambaye ni mkazi wa Githurai, jijini Nairobi, aliwapeleka binti...

SHINA LA UHAI: Kidonda cha dhuluma za kimapenzi huacha makovu sugu

Na PAULINE ONGAJI UNAPOMTAZAMA ni rahisi kutambua uchungu unaomkumba, hali ambayo inajitokeza kupitia hofu machoni mwake anapojaribu...

SHINA LA UHAI: Gharama ya kudumisha figo mpya inavyolemea wengi

Na BENSON MATHEKA ALIPOPATA mtu wa kumtolea figo mwaka wa 2014, Joseph Ndirangu alidhani alikuwa amemaliza tatizo lililotishia maisha...

SHINA LA UHAI: Corona si hatari tu kwa afya bali pia mazingira

Na LEONARD ONYANGO VIDEO ya mwanaume aliyeonekana akisafisha barakoa/maski zilizotumika iliwatia hofu Wakenya ilipochipuza katika...

SHINA LA UHAI: Covid-19 tishio kwa sekta ya afya duniani

Na LEONARD ONYANGO JANE Atieno (si jina lake halisi) wiki iliyopita alizuru kituo kimoja cha afya katika Kaunti ya Homa Bay, baada ya...

SHINA LA UHAI: Ongezeko la mimba za mapema fumbo linalotatiza wataalamu

Na PAULINE ONGAJI KATIKA umri wa miaka 16 pekee, Tsuma, mwanafunzi wa Kidato cha Tatu katika kijiji cha Maweni, Kaunti ya Kilifi...

SHINA LA UHAI: Uavyaji ulivyosalia ‘mada ngumu’ licha ya wengi kufariki

Na MARY WANGARI TANGU jadi, suala la ngono na uzazi kuhusu jinsia ya kike huibua mjadala na kuvutia hisia kali kila wakati. Japo...

SHINA LA UHAI: Wasiwasi wa wauguzi uhaba wa damu ukikithiri

Na BENSON MATHEKA MAELFU ya wagonjwa nchini wanakabiliwa na hatari ya kuaga dunia baada ya kubainika kuwa nchi hii inakabiliwa na...

SHINA LA UHAI: Tatizo la mwasho wa ngozi na matibabu

Na BENSON MATHEKA KUJIKUNA ngozi sio jambo la kawaida jinsi baadhi ya watu wanavyodhani. Ukikumbwa na hali hii, nenda ukamuone...

SHINA LA UHAI: Pombe sumu ya wanawake

Na LEONARD ONYANGO “MABAYA yanaponikumba, ninakunywa pombe ili nisahau. Ninapopata mazuri ninalewa ili kusherekea. Ikiwa hakutatokea...

SHINA LA UHAI: Makovu ya ubakaji tishio kwa afya

Na PAULINE ONGAJI NI mwendo wa saa mbili usiku ambapo Nadia, yuko nyumbani kwake mtaani Kariobangi, viungani mwa jiji la...