• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 4:42 PM

LISHE: Sukumawiki na nyama ya mbuzi

Na MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Dakika 15 Muda wa mapishi: Dakika 40 Walaji:...

KILIMO CHA MBOGA: Ethiopian kales ni rahisi kukuza, huchukua muda mfupi kuchumwa

Na SAMMY WAWERU MBOGA aina ya Ethiopian kales huwa na umbo sawa na la sukumawiki japo majani yake ni madogo. Mboga hii inaenziwa...

KILIMO NA BIASHARA MASHINANI: Kilimo cha mboga za aina tofauti kimesaidia aweze kulipia wanawe karo

Na CHARLES ONGADI WAKULIMA wengi Kaunti ya Kisumu walikuwa na dhana kwamba kilimo cha mboga hakiwezi kushamiri kama ilivyo kwa kilimo...

BIASHARA MASHINANI: Kilimo cha sukumawiki na nyanya chamfaa mkulima

Na SAMUEL BAYA UKIFIKA katika kijiji cha Ruiru-Solai, kuelekea Nyakinyua, Kaunti ya Nakuru, utaona kipande cha ekari moja na nusu...

BONGO LA BIASHARA: Mafunzo yalivyomsaidia kufaulu kilimo cha mboga

Na GRACE KARANJA BW Eric Mwebi ni mzaliwa wa kijiji cha Kanyimbo, Kaunti ya Kisii. Anasema kwamba kilimobiashara cha sukumawiki ni...

Kilimo cha sukumawiki

Na SAMMY WAWERU UKIZURU mengi ya maboma hutakosa kuona mboga ya kijani. Katika makazi mengi nchini, mboga aina ya sukumawiki ndiyo...

MAPISHI: Ugali na sukumawiki

Na MARGARET MAINA [email protected] UGALI Muda wa kusonga sima: dakika 15 Walaji:...