• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 7:50 AM

TAHARIRI: Bajeti mwaka huu isaidie kukwamua Wakenya kiuchumi

NA MHARIRI WAKENYA leo wanasubiri kwa hamu na ghamu kufuatilia yaliyomo kwenye Bajeti ya Mwaka wa Kifedha wa 2022/23 ambayo ni ya mwisho...

TAHARIRI: Vijana wapaswa kuelimishwa kuhusu hatari ya ghasia uchaguzini

NA MHARIRI KWA mujibu wa Katiba ya 2010, vijana wamefafanuliwa kama watu wenye umri wa kati ya miaka 18 na 34. Vijana hawa watakuwa...

TAHARIRI: Ieleweke kuwa raia hawezi kushiba kwa ahadi tupu

NA MHARIRI KATIKA kila mwaka wa uchaguzi, imekuwa kama desturi bei za bidhaa mbalimbali kupanda kwa kiwango cha kushtua. Mwaka huu,...

TAHARIRI: Serikali iingilie kati na kumaliza uhaba wa mafuta unaoshuhudiwa nchini

NA MHARIRI UHABA wa mafuta unaoshuhudiwa sasa nchini ni jambo linalofaa kutatuliwa kwa haraka. Ingawa tatizo hili ni la kimataifa,...

TAHARIRI: Pombe haramu ni janga kwa taifa letu

NA MHARIRI KILA mwaka visa vya watu kufa au kuathiriwa na pombe haramu huwa vinaripotiwa. Katika kisa cha hivi punde, watu sita...

TAHARIRI: Serikali iwaachie maseneta kazi ya kufuatilia pesa zipewazo kaunti

NA MHARIRI MZOZO unaoendelea kuhusu mwenye mamalak aya kusimamia pesa zinazotumwa kwa kaunti haufai. Bunge la Kitaifa na lile la...

TAHARIRI: Demokrasia ya vyama nchini ni ya kufikirika tu

NA MHARIRI KWA mujibu wa kanuni zilizotolewa na msajili wa vyama vya kisiasa nchini Bi Anne Nderitu, wanasiasa wana muda wa hadi siku ya...

TAHARIRI: Itakuwa aibu raia mwenye njaa kuombwa kura

NA MHARIRI MAELFU ya wananchi katika pembe tofauti za nchi wanatarajiwa kuendelea kukumbwa na makali ya njaa mwaka huu 2022. Hii ni...

TAHARIRI: Serikali iseme ukweli kuhusu kuvuja mtihani unaoendelea

NA MHARIRI IDARA ya Upelelezi wa Jinai (DCI) inawazuilia watu walio kwenye genge linalosambaza karatasi za mtihani wa kitaifa wa kidato...

TAHARIRI: Serikali isiwe na huruma kwa wezi wa mitihani nchini

NA MHARIRI SIKU ya Jumatatu jumla ya watahiniwa 831,015 wa kidato cha nne walianza mtihani wa kitaifa wa KCSE kote nchini. Serikali...

TAHARIRI: Si haki kuzidi kupuuza elimu ya mtoto maskini

NA MHARIRI KWA miaka michache sasa, serikali ya kitaifa imekuwa ikiangazia sana hitaji la kutekeleza kikamilifu mfumo mpya wa elimu ya...

TAHARIRI: Boda: Msako kusitishwa ni nafasi ya kutafuta stakabadhi

NA MHARIRI IDARA ya polisi jana Jumamosi ilisitisha msako mkali kwa wahudumu wa bodaboda, msako ambao ulitangazwa na Rais Uhuru Kenyatta...