• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 10:15 PM

Usalama kuimarishwa msimu wa shamrashamra

Na LAWRENCE  ONGARO USALAMA utaimarishwa vilivyo msimu huu ambapo shamrashamra za Krismasi Desemba na Mwaka Mpya zinanukia, ili kulinda...

Wakazi wa Gatundu wahakikishiwa usalama wao

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Gatundu Kusini wamepewa hakikisho kuwa usalama wao utaimarishwa na kuwa kama zamani. Wiki moja iliyopita...

20 wajeruhiwa Mandera katika ajali ya barabara usiku

Na MANASE OTSIALO WATU 20 walijeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Kaunti ya Mandera baada ya basi walilokuwa wameabiri kupata ajali...

Matiang’i aahidi kumaliza genge la mauaji eneo la Matungu

Na MWANGI MUIRURI WAZIRI wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang’i amefichua Alhamisi kuwa mshirikishi wa mauaji ya kikatili katika eneo...

Boinnet ateua makamanda wapya wa maeneo manane

Na BENSON MATHEKA Inspekta Jenerali wa polisi, Joseph Boinnet, ameteua wakuu wapya wanane wa polisi katika juhudi za kuimarisha usalama...

Idd-ul-Adha: Usalama waimarishwa Lamu

NA KALUME KAZUNGU USALAMA umeimarishwa katika kisiwa cha Lamu na maeneo yote ya mpakani mwa Lamu na Somalia wakati huu ambapo waumini...

KAPEDO: Uhalifu wasababisha upungufu wa chakula

Na SAMMY LUTTA WAKAZI wa maeneo ya Kapedo na Lomelo katika Kaunti ya Turkana wamelazimika kutegemea chakula cha msaada kutokana na...

Wakazi wakejeli maafisa kushindwa kuwakamata wahalifu

[caption id="attachment_3971" align="aligncenter" width="800"] Ahmed Omar akilalamika juu ya idadi kubwa ya wahalifu wanaozidi kuwakosesha...

Watalii wafurika Lamu kusherehekea Pasaka

NA KALUME KAZUNGU WATALII wanaendelea kufurika kisiwani Lamu kwa maadhimisho ya sherehe za Pasaka. Kufikia sasa idara ya utalii ya Lamu...

Wakazi Mlima Elgon wataka kafyu ya siku 90 iondolewe

Na DENNIS LUBANGA WAKAZI katika eneo la Mlima Elgon, Kaunti ya Bungoma sasa wanaitaka Serikali kuondoa kafyu ya siku 90 ambayo imewekwa...

BODABODA: Kizingiti kikuu cha hali ya usalama nchini

CHARLES WASONGA na TITUS OMINDE PIKIpiki za uchukuzi wa abiria, maarufu, boda boda, hupendwa na watu wengi nchini kutokana na kutokana...

Serikali yaahidi kukomesha ugaidi unaovuruga elimu Wajir

Na WANDERI KAMAU SERIKALI Jumatano ilisema imebuni mpango ambao utahakikisha kwamba shughuli za masomo hazitaathiriwa katika Kaunti ya...