• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 5:50 PM

Qatar Airways yazindua safari ya ziada kutoka Doha hadi Mombasa

Na MAGDALENE WANJA IDADI ya watalii nchini inatarajiwa kuongezeka hii ikiwa ni baada ya shirika la Qatar Airways kuzindua safari (trip)...

Kenya kutuma ombi kuandaa kongamano la UN kuhusu utalii wa kimataifa

Na MAGDALENE WANJA KENYA ni miongoni mwa nchi ambazo zimeonyesha nia ya kuwa mwenyeji wa kongamano la baraza la Umoja wa Mataifa kuhusu...

Wizara yawataka watalii waepuke mitego ya matapeli mitandaoni

Na MAGDALENE WANJA WIZARA ya Utalii na Wanyamapori imeanzisha uchunguzi kuhusu ripoti za watu ambao wanawalaghai watalii...

Uchafuzi wa maziwa ya Bonde la Ufa unavyoathiri utalii

NA RICHARD MAOSI SHIRIKA la Huduma za Wanyamapori nchini (KWS) mwaka 2018 ilitoa ripoti yenye utata iliyosema kuwa kiwango cha maji...

Kenya yapoteza watalii 2,000 wakihofia usalama

Na Winnie Atieno KENYA imepoteza watalii 2,000 wa kimataifa baada ya meli mbili za kifahari, zilizokuwa zitie nan’ga katika Bandari ya...

MENENGAI CRATER: Mali asili inayofumbiwa macho na serikali

NA RICHARD MAOSI KULINGANA na utafiti uliofanywa na shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira (UNEP), kati ya miaka ya 1990-2010...

Muafaka umeimarisha utalii nchini – Ripoti

Na BERNARDINE MUTANU Sekta ya utalii imeimarika kwa asilimia kubwa ikilinganishwa na mwaka wa 2017. Mapato katika sekta hiyo yaliimarika...

Sarafu mpya zitastawisha utalii na kulinda wanyamapori – Balala

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Utalii na Wanyama Pori Najib Balala amepongeza hatua ya serikali ya kuweka picha za wanyamapori katika...

NGILA: Safari za moja kwa moja hadi Amerika ziimarishe utalii nchini

NA FAUSTINE NGILA MAENDELEO ambayo yameshuhudiwa katika sekta ya utalii mwezi Oktoba yanastahili pongezi. Wakati nilihudhuria kikao cha...

Mbuga ya Maasai Mara bado namba wani Afrika

Na GEORGE SAYAGIE MBUGA ya wanyamapori ya Maasai Mara kwa mara nyingine imeorodheshwa katika nafasi ya kwanza Barani Afrika kwenye tuzo...

ZIWA NAIVASHA: Kivutio cha utalii kilichogeuka mtego wa mauti

RICHARD MAOSI NA MACHARIA MWANGI VIBOKO katika Ziwa Naivasha wanaoaminika kuwavutia watalii wengi, sasa si fahari ya wakazi tena...

Teknolojia yameza 60% ya mapato ya maajenti wa utalii

Na BERNARDINE...