• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 12:59 PM
AMINI USIAMINI: Utatozwa faini ya Sh40,000 ukimgusa Quokka

AMINI USIAMINI: Utatozwa faini ya Sh40,000 ukimgusa Quokka

NA MWORIA MUCHINA

QUOKKA, ambaye kwa jina la kisayansi ni Setonix brachyurus, ni mnyama mdogo anayefanana na kangaroo.

Quokka wanapatikana nchini Australia na hula majani, ngozi za miti na nyasi.

Wanyama hawa huwa hawaogopi wanapokaribia binadamu. Lakini ni hatia kuwagusa au kuwapa chakula wanyama hawa ili wasipate magonjwa kwa vile wako katika hataru ya kuangamia.

Hatia kama hiyo itafanya utozwe faini ya zaidi ya Sh40,000.

  • Tags

You can share this post!

Magari ya zimamoto yagongana kabla kuzinduliwa

Kane ndiye anatoshea kwa viatu vya Messi – PSG

T L