• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 12:58 PM

Mama ajifungua katika kambi alikotafuta hifadhi mafuriko yakiendelea Garissa

Na FARHIYA HUSSEIN MWANAMKE mmoja amejifungua katika kambi alikotafuta hifadhi Kaunti ya Garissa baada ya kupoteza makazi yake kufuatia...

MAFURIKO: 237 wafa huku 800,000 wakiachwa bila makao

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Ugatuzi Eugene Wamalwa amefichua kuwa kufikia Jumatano asubuhi jumla ya watu 237 walikuwa wamefariki maeneo...

Serikali kuwaondoa kwa lazima walioko katika ‘ngome’ za mafuriko

Na SAMMY WAWERU SERIKALI imesema haitaki kubembeleza watu wanaokatalia maeneo hatari na yanayoshuhudia mafuriko, kutokana na athari za...

Mafuriko yasomba makazi ya familia 10,000 Nyando

Na CECIL ODONGO ZAIDI ya familia 10,000 katika vijiji vya Kabonyo na Nduru kwenye wadi ya Kabonyo Kanyagwal, eneobunge la Nyando...

Waathiriwa wa mafuriko wasaidiwa

Na WAANDISHI WETU WATHIRIWA wa mafuriko katika Kaunti ya Homa Bay wameanza kupewa pesa ili waweze kukodisha nyumba waache kukusanyika...

Mvua kubwa yasababisha hasara Ruiru

Na LAWRENCE ONGARO FAMILIA zaidi ya 200 katika vijiji vya Kimbo na Juja wameachwa na mahangaiko baada ya mvua kubwa kusababisha maji ya...

Maaskofu wa kanisa Katoliki waitaka serikali itenge fedha iwafae waathiriwa wa mafuriko

Na CHARLES WASONGA MAASKOFU wa Kanisa Katoliki wameitaka serikali kutenga rasilimali za kutosha kuwafidia Wakenya walioathirika na...

Waombwa wahamie nyanda za juu kukwepa mauti

Na OSCAR KAKAI Wakazi wanaoishi katika maeneo hatari ya nyanda za chini katika Kaunti ya Pokot Magharibi wameshauriwa kuhama kutoka...

Wawili waangamia kwa mafuriko Samburu

By GEOFFREY ONDIEKI [email protected] Watu wawili wamefariki baada ya kusombwa na maji ya mafuriko katika kijiji cha Illaut,...

ODONGO: Tusisahau nzige, mafuriko tunapokabiliana na virusi

Na CECIL ODONGO KENYA ni kati ya mataifa ambayo raia wake wameathiriwa pakubwa na maambukizi ya virusi vya corona. Kwa sasa, taifa...

Mafuriko yatatiza wakazi wa Nyando na Taita Taveta corona ikienea

CECIL ODONGO na LUY MKANYIKA WAKAZI 1,000 katika eneobunge la Nyando wameachwa bila makao baada ya nyumba zao kusombwa na maji ya...

Mafuriko yazidi kuleta maafa maeneo mbalimbali nchini

Na WAANDISHI WETU SHULE tatu jana zilifungwa katika eneobunge la Nyando, Kaunti ya Kisumu, huku maafa ya mafuriko yakiendelea...