• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:50 AM

Huu ni mzaha tu!

Na TAIFA RIPOTA MAAFISA wakuu serikalini wakiongozwa na Rais Uhuru Kenyatta na Waziri wa Afya Mutahi Kagwe, wameendelea kuvunja kanuni...

ODONGO: Raila awe Rais kutokana na sera wala si kutuzwa

Na CECIL ODONGO KIONGOZI wa ODM Raila Odinga apasa kuwa Rais 2022 kutokana na jinsi anavyozinadi sera zake na kuwaridhisha Wakenya na...

TAHARIRI: IEBC isipomulikwa mapema tutajuta

Na MHARIRI KWA sasa imesalia miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu ujao kuandaliwa. Licha ya kuwepo kwa mambo mengi yanayotuzonga, ipo...

Wakazi wa Kingoro waandamana malalamiko yakiwa ni kuongezeka visa vya ubakaji

Na LAWRENCE ONGARO WANAWAKE wa kijiji cha Kingoro eneo la Gatundu Kaskazini walifanya maandamano wakilalamikia ukosefu wa usalama na...

Ruto apuuza mpango wa kusukuma Raila Ikulu

WANDERI KAMAU NA DPPS NAIBU Rais William Ruto amepuuzilia mbali viongozi wanaotishia kwamba kikundi cha washawishi wa kitaifa katika...

Mjadala wa fedha waingizwa ukabila

Na CHARLES WASONGA MJADALA kuhusu mfumo mpya wa ugavi wa fedha miongoni mwa kaunti 47 Jumanne ulitekwa na ukabila katika...

Yafichuka Ikulu ilihusika kusukuma Elachi ajiuzulu cheo Nairobi

Na COLLINS OMULO RAIS Uhuru Kenyatta alihusika katika uamuzi wa Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, Bi Beatrice Elachi kujiuzulu, kama...

Masharti ya ibada makanisani na misikitini yalegezwa kiasi

Na SARAH NANJALA MAENEO ya ibada yaliyo na nafasi kubwa sasa yataruhusiwa kuwa na waumini zaidi ya 100 kwa kila ibada kulingana na...

Wazito wampokeza Fred Ambani mikoba ya ukufunzi

Na CHRIS ADUNGO WAZITO FC wamempokeza Fred Ambani mikoba yao ya ukufunzi na kumteua beki wa zamani wa Harambee Stars, Salim Babu kuwa...

Penalti yasaidia Manchester United kutinga robo-fainali Europa League

Na CHRIS ADUNGO MANCHESTER United walihitaji bao la mwisho wa muda wa ziada kupitia penalti ya kiungo Bruno Fernandes ili kuwabandua FC...

Familia kupewa mafunzo namna ya kuzika wanaofariki kutokana na Covid-19

Na SAMMY WAWERU WIZARA ya Afya imesema itaanza kutoa mafunzo kwa familia za wanaofariki kutokana na maradhi ya Covid-19 ili wazikwe kwa...

Idadi ya simba yapungua – IUCN

Na WINNIE ATIENO HUENDA simba wakatoweka kabisa ikiwa hatua madhubuti hazitachukuliwa, Shirika la Uhifadhi wa Wanyamapori ulimwenguni...