• Nairobi
  • Last Updated March 5th, 2024 7:55 AM

Balala ahakikishia wawekezaji sekta ya utalii wizara inafanya kulihali kuzima moto Tsavo

Na WINNIE ATIENO WAZIRI wa Utalii na Wanyamapori Najib Balala amewahakikishia wawekezaji katika sekta hiyo kwamba wizara yake itazima...

Beki Joseph ‘Crouch’ Okumu asema Simba SC hawawezi kumng’oa Uswidi

Na CHRIS ADUNGO BEKI matata wa Harambee Stars, Joseph ‘Crouch’ Okumu, 23, amefutilia mbali tetesi zinazomhusisha na uwezekano wa...

Wawili wajeruhiwa baada ya V8 kugonga nguzo za barabarani

Na SAMMY WAWERU WATU wawili Jumanne wamenusurika kifo baada ya gari walimokuwa kupoteza mwelekeo na kugonga chuma katika barabara kuu ya...

Covid-19 imechelewesha azma yangu, haijaifuta – Conseslus Kipruto

Na CHRIS ADUNGO BINGWA wa Olimpiki katika mbio za mita 3,000 kuruka viunzi na vidimbwi vya maji, Conseslus Kipruto, amesema kwamba azma...

Tathmini ya KNBS yaonyesha viwango vya juu vya umaskini Kenya

Na CHARLES WASONGA ZAIDI ya nusu ya Wakenya wanaishi katika lindi la umaskini, kulingana na matokeo ya tathmini ya kipekee iliyofanywa...

Trump aondolewa katika ukumbi mmojawapo ufyatulianaji risasi ukitokea nje ya White House

Na MASHIRIKA WASHINGTON D.C., Amerika RAIS Donald Trump aliondolewa haraka kutoka Ikulu ya White House na walinda usalama baada ya...

‘Uzinzi, salamu za mikono vinahujumu vita dhidi ya Covid-19’

Na WINNIE ATIENO GAVANA wa Mombasa Hassan Joho amewasihi wakazi wa jiji hilo waepuke kuamkuana kwa mkono, aghalabu kwa wakati huu, ili...

TANZIA: Mchezaji Ian Waraba wa Kenya Harlequins afariki mjini Kitale

Na CHRIS ADUNGO ULINGO wa raga ya Kenya umepigwa pute na kifo cha mchezaji Ian Waraba aliyeaga dunia mnamo Agosti 9, 2020 akiwa na umri...

Vipimo vyabainisha wanasoka wawili kambini mwa Atletico Madrid wanaugua Covid-19

Na CHRIS ADUNGO ATLETICO Madrid wamethibitisha kwamba wanasoka wawili katika kikosi chao kinachojiandaa kwa mechi ya robo-fainali ya...

Phil Jones kukosa kampeni zilizosalia za Manchester United kwenye Europa League

Na CHRIS ADUNGO BEKI Phil Jones wa Manchester United hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachotegemewa na kocha Ole Gunnar Solskjaer kwenye...

‘Tangatanga’ wakiri fimbo ya Uhuru yatisha

Na ONYANGO K'ONYANGO WANDANI wa Naibu Rais William Ruto, wamekiri kuwa fimbo kali ya Rais Uhuru Kenyatta iliwalazimu kuenda chini ya...

Waliovuna enzi za Moi wasota

VICTOR JUMA Na BENSON MATHEKA WANDANI wa aliyekuwa rais wa pili wa Kenya, Daniel arap Moi wanakumbwa na hali ngumu kifedha huku...