• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 8:55 PM
Polo ahepa demu aliyetaka ‘mpini’ siku ya kwanza

Polo ahepa demu aliyetaka ‘mpini’ siku ya kwanza

NA JANET KAVUNGA

CHANGAMWE, MOMBASA

JAMAA wa hapa alimtema demu wake kwa kumtaka aonje tunda siku ya kwanza ya date yao.

Alishangazwa na demu huyo kumtaka wakodishe chumba wakeshe licha ya kuwa hakuwa amemfahamu vyema.

“Alionekana kupandwa na mzuka lakini sikuingia boksi yake. Nilishuku mbio zake hizo za kutaka kunionjesha tunda na nikamtema mara moja,” jamaa alisema na kuungwa mkono na wenzake, 
japo baadhi walimkejeli kwa kuogopa kutafuna tunda.

  • Tags

You can share this post!

Wapelelezi wapata simu ya mwanafunzi wa Tetu aliyeuawa...

Chipukizi Kibet azoa tuzo ya SJAK

T L