• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 7:50 PM

Polo aona moto kuchezea maski

NA MARU WANGARI LIMURU MJINI JAMAA mjini hapa alijipata mashakani kwa kufanyia utani masharti ya kujikinga na corona. Yote...

Je, ni kweli barakoa za kushonewa mtaani zinazuia maambukizi ya corona?

Na GEOFFREY ANENE HUKU biashara ya kushona na kuuza barakoa zilizotengenezwa kwa kutumia vitambaa ikinoga kote nchini Kenya, mjadala...

‘Ninashona barakoa moja kwa dakika 15’

Na GEOFFREY ANENE Barakoa zimeokoa biashara ya fundi cherehani Jacob Onyango ambayo ilikuwa inazama kutokana na uhaba wa wateja kwa...

Mkenya anayeishi Dubai asema bila kuvalia barakoa na glavu hakuna kuuziwa chochote

Na GEOFFREY ANENE Wakenya wanapenda kuzuru na kufanya biashara mjini Dubai katika Milki za Kiarabu. Zaidi ya Wakenya 50, 000 wanaishi...

Joho awapa polisi maski kusambazia umma

DIANA MUTHEU na MOHAMED AHMED GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho ametoa msaada wa barakoa kwa maafisa wa polisi ili wazipeane kwa...

Atumia siku yake ya kuzaliwa kusaidia wakongwe

Na KALUME KAZUNGU MWANAMUME mmoja Kaunti ya Lamu amegusa mioyo ya wengi pale alipotumia siku yake ya kuzaliwa kuzuru vijiji mbalimbali...

Fundi aonyesha ubunifu wake katika uundaji wa barakoa za watoto

Na JAMES MURIMI FUNDI wa nguo katika mji wa Nanyuki, Kaunti ya Laikipia, ameanza kutengeneza barakoa maalumu za watoto, baada ya...

Polisi wanyaka wasiovaa maski

Na WAANDISHI WETU POLISI Jumanne walianza mara moja kukamata watu wanaotembea bila kuvalia barakoa baada ya Inspekta Jenerali, Hillary...

Wakenya wavaa sidiria na soksi usoni wasikamatwe na polisi

Na KALUME KAZUNGU HALI ngumu ya kiuchumi na uhaba wa maski katika maeneo kadhaa Kaunti ya Lamu, umelazimisha baadhi ya wakazi mijini na...

Corona yazindua Kenya usingizini, yazua ubunifu

Na WAANDISHI WETU  LICHA ya kutishia maisha, jamii na uchumi wa nchi, virusi vya corona vimechochea vyuo, watu binafsi na kampuni kuwa...

KEBS kuhakikisha mafundi wametengeneza barakoa bora

Na CHARLES WASONGA SHIRIKA la Kukadiria Ubora wa Bidhaa Nchini (KEBS) limetangaza kuwa litawasaidia mafundi kote nchini ili waweze...

Barakoa zisiuzwe zaidi ya Sh20 – Serikali

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Biashara na Viwanda Betty Maina ametangaza kuwa barokoa ambazo zitatolewa na serikali kwa umma zitauzwa kwa...