• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 7:50 AM

Serikali yamkata pembe Magoha kwa kumdhulumu afisa wizarani

Na CHARLES WASONGA TUME ya Utumishi wa Umma (PSC) Ijumaa ilimpokonya Waziri wa Elimu Prof George Magoha mamlaka ya kusimamia wafanyakazi...

Sitaomba msamaha, Magoha awaambia wakosoaji

Na LILLIAN MUTAVI WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha, amesisitiza kwamba, hatabadilisha mtindo wake wa kufanya kazi, licha ya kutakiwa...

Magoha kuandaa kikao kujadili ratiba mpya ya shule

Na FAITH NYAMAI WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha ameitisha mkutano wa wadau katika sekta ya elimu wiki hii kujadili kalenda mpya ya...

Magoha bado asisitiza shule zafaa kufunguliwa sasa

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha amesisitiza kuwa wakati umetimia kwa shule zote kufunguliwa.Mnamo Jumatatu, Rais...

Waziri mtatanishi

Na MWANDISHI WETU MISIMAMO ya Waziri wa Elimu, Prof George Magoha kuhusu ufunguzi wa shule tangu zilipofungwa Machi kwa sababu ya janga...

Serikali kutumia Sh1.9 bilioni kununua madawati maalum

Na WINNIE ATIENO WIZARA ya Elimu itatumia Sh1.9 bilioni kununua madawati maalum kwa wanafunzi wa shule za msingi na upili nchini huku...

Magoha ataka taasisi za kozi za ufundi zifunguliwe Septemba

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha amesema Vyuo vya Kozi za Ufundi Nchini (TVET) vitafunguliwa Septemba ili wanafunzi...

Serikali yaambia wazazi walipe karo hata kama shule zimefungwa

Na BENSON MATHEKA WAZIRI wa Elimu Profesa George Magoha ametaka wazazi ambao watoto wao wanasoma katika shule za wamiliki binafsi...

Wanafunzi kukaa nyumbani kwa siku zingine 30

ELIZABETH OJINA na VITALIS KIMUTAI SERIKALI imeongeza muda wa likizo ya shule za msingi na upili kwa siku 30. Hatua hii inazidi...

Mtihani wa KCSE 2019 wafika tamati

Na CHARLES WASONGA MTIHANI wa kitaifa wa kidato cha nne (KCSE) umekamilika Jumatano huku Wizara ya Elimu ikisema visa vya majaribio ya...