• Nairobi
  • Last Updated May 5th, 2024 10:50 AM
TZ yawarai viongozi wa upinzani walio uhamishoni warejee

TZ yawarai viongozi wa upinzani walio uhamishoni warejee

NA MWANANCHI

DAR ES SALAAM, TANZANIA

SERIKALI ya Tanzania imewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliotorokea mafichoni katika mataifa ya kigeni, kurejea nchini.

Wizara ya Masuala ya Ndani iliomba wanasiasa hao warudi nyumbani ikisema hakuna uhasama baina ya upinzani na serikali.

Miongoni mwa viongozi wa Chadema wanaoishi uhamishoni ni aliyekuwa mwaniaji urais 2020, Tundu Lissu, na wabunge wa zamani Godbless Lema na Ezekiel Wenje.

Lissu, ambaye sasa anaishi Ubelgiji, amekuwa nje tangu alipomiminiwa risasi 16 na watu wasiojulikana mnamo 2017.

  • Tags

You can share this post!

GUMZO: Arsenal inamtaka beki wa Dortmund

WANDERI KAMAU: Wabunge chipukizi katika Bunge la 12...

T L