• Nairobi
  • Last Updated May 20th, 2024 7:55 AM

KAULI YA WALIBORA: Wanahabari waepuke uchale katika usomaji habari, wawaige mikota wa zamani

NA PROF KEN WALIBORA KUNA taarifa za habari zilizokuwa zikisomwa na mkongwe wa usomaji habari, Khamis Themor wa VOK (baadaye KBC)...

KAULI YA WALIBORA: Haya si maendeleo ya usasa wa Kiswahili

NA PROF KEN WALIBORA Bwana mmoja aitwaye Nassoro Mwinyi niliyekutana naye Mombasa alinipa mambo mengi ya kutafakuri kuhusu taaluma za...

Kiswahili sasa kufundishwa nchini Afrika Kusini

BBC na PETER MBURU PRETORIA, AFRIKA KUSINI LUGHA ya Kiswahili sasa itaanza kufundishwa kama somo la kuchagua katika shule za Afrika...

KAULI YA MATUNDURA: Baraza la Kiswahili Kenya lahitaji kuungwa mkono kikamilifu

NA BITUGI MATUNDURA Mwezi uliopita, Baraza la Mawaziri la Kenya lilitoa idhini ya kubuniwa kwa Baraza la Kiswahili Kenya (BAKIKE). Hatua...

KAULI YA WALIBORA: Ukakamavu wa Julius Malema kuzamia lulu Kiswahili ni wa kuigwa

NA PROF KEN WALIBORA MBUNGE na kiongozi wa chama cha Economic Freedom Party nchini Afrika Kusini Julius Malema amewashangaza wengi kwa...

KAULI YA WALIBORA: Shime kumuenzi nguli wa fasihi Prof Bukenya angali hai

NA PROF KEN WALIBORA MNAMO tarehe 30 Agosti kulikuwa na sherehe ndogo ya kumuenzi msomi na mtunzi anayejitambulisha kwa maneno na...

Malema mbioni kuidhinisha Kiswahili kiwe lugha rasmi ya Afrika

MASHIRIKA NA PETER MBURU KIONGOZI wa Chama cha Kupigania Haki za Kiuchumi (EFF) nchini Afrika Kusini, Bw Julius Malema (pichani) sasa...

KAULI YA WALIBORA: Dhima ya kutafsiri neno la Mungu haina masihara

Na PROF KEN WALIBORA BIBLIA Takatifu ndicho kitabu kilichotafsiriwa kwa lugha nyingi zaidi duniani. Mabilioni ya watu wanaosoma...

GWIJI WA WIKI: Mfahamu mwanafasihi Mukoya Aywah

Na CHRIS ADUNGO NASAHA Huu ndio ushauri, walimwengu fahamuni, Epukana na kiburi, mkaishi salamani, Shikilia ujasiri, nawambia...

KAULI YA WALIBORA: ‘Shosho’ Cecilia ni mfano hai kuwa ujuzi wa mtu hautegemei umilisi wa Kiingereza

Na PROF KEN WALIBORA Hivi majuzi mtangazaji mpya wa kipindi cha Trend cha NTV Amina Abdi alijaribu kumhoji Bikizee wa miaka 80 aiitwaye...

Wasomi wa Kiswahili wakutana chuoni Moi kwa kongamano kuu

Na TITUS OMINDE WASOMI na wataalam wa lugha ya Kiswahili kutoka Afrika Mashariki wanashiriki katika kongamano la Kiswahili katika Chuo...

Utumizi wa Kiswahili shuleni wazua ubishi TZ

Na JOSEPHINE CHRISTOPHER WATANZANIA wameshindwa kuamua kuhusu lugha wanayofaa kutumia kufunza shuleni kati ya Kiswahili na...