• Nairobi
  • Last Updated May 7th, 2024 11:48 AM

KRISMASI: Ni wakati wa kupunguza siasa, viongozi waambiwa

Na Macharia Mwangi ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Dayosisi ya Mombasa Martin Kivuva ametoa wito kwa viongozi wasitishe siasa ili kuwapa...

Vigogo wa kisiasa wanavyomumunya Krismasi

Na WANDERI KAMAU VIONGOZI mbalimbali wa kisiasa nchini wanatarajiwa kujiunga na Wakenya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi leo. Kinara...

KRISMASI: Watu 10 wakosa kuona siku muhimu

Na WAANDISHI WETU SHEREHE za Krisimasi ziligeuka kuwa huzuni kwa familia kadhaa huku watu 10 wakifariki kwenye ajali katika sehemu...

KRISMASI: Serikali kulipa madeni ya wanakandarasi

Na CHARLES WASONGA KAIMU Waziri wa Fedha Ukur Yatani ametoa hakikisho kwamba Serikali ya Kitaifa imejitolea kulipa madeni inayodaiwa na...

Atisha kukausha asali Krismasi

Na TOBBIE WEKESA MAILI NANE, ELDORET Kizaazaa kilizuka kwenye ploti moja mtaani humu baada ya kipusa kumzomea polo kwa kukataa...

Shamrashamra za Krismasi zanoga jijini Bethlehemu

Na AFP TANGU Jumatatu, mji wa Bethlehemu ambao unatambuliwa na Wakristo kama mahala ambapo Yesu alizaliwa umekuwa ukijiandaa kuwapokea...

KRISMASI: Hofu wasichana wakijikeketa wenyewe

Na OSCAR KAKAI HUHU shamrashamra za Krismasi zikinoga, imefichuka kuna watoto wanaobalehe katika Kaunti ya Pokot Magharibi ambao...

Krismasi ya msoto

Na VALENTINE OBARA CHANGAMOTO tele zilizowakumba Wakenya mwaka huu zimefanya wengi wakose mpango wa kufurahia sherehe za Krismasi...

NGILA: Teknolojia itaendelea kugeuza Krismasi, hivyo jiandaeni

Na FAUSTINE NGILA Kuna wakati mwanzoni mwa karne ya 19 ambapo sikukuu ya Krismasi haikuwa inasherehekewa. Baadaye ilijizolea umaarufu...

Krismasi: Mashoga na wasagaji kuandaa karamu Nairobi

Na MWANDISHI WETU WAPENZI wa jinsia moja wameamua hawataachwa nyuma katika sherehe za Krismasi mwaka huu. Mashoga na wasagaji jijini...

Msongamano Krismasi: KeNHA yatangaza barabara mbadala

Na WANDISHI WETU MAMLAKA ya Barabara za Kitaifa Kenya (KeNHA) imetangaza barabara mbadala ambazo zitatumika wakati kutakapokuwa na...

Mbunge awapa wakazi Krismasi,awarai viongozi wengine kufanya hivyo

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya kuwajali wale wasiojiweza hasa wakati huu wa sikuu ya Krismasi kulingana na mbunge wa Ruiru, Bw Simon...