• Nairobi
  • Last Updated May 11th, 2024 7:15 PM

Ukambi: Wazazi wahimizwa wakumbatie chanjo

Na KENYA NEWS AGENCY WAZAZI wametakiwa kupeleka watoto wao wa umri kati ya miezi tisa na 59 kudungwa chanjo ya kuzuia ugonjwa wa ukambi...

Onyo kwa wahudumu wa afya wanaoingiza ufisadi katika utoaji wa chanjo

Na SAMMY WAWERU SERIKALI imetoa onyo kali kwa wahudumu wa afya wanaosakata ufisadi katika utoaji wa chanjo ya virusi vya corona. Waziri...

Dkt Mwangangi awahakikishia wabunge chanjo ya Covid-19 ni salama

Na CHARLES WASONGA HAKUNA madhara yoyote yametokea miongoni mwa watu ambao wamepewa chanjo ya Covid-19 kote nchini kufikia sasa, Wizara...

COVID-19: Walimu kuwa miongoni mwa watu wa mwanzo watakaopewa chanjo

Na MWANDISHI WETU HAPA nchini Kenya, chanjo ya maradhi ya Covid-19 haijafika, lakini mara itakapokuwa imeletwa, walimu watakuwa miongoni...

Kenya yapokea PPE kutoka WHO

Na SAMMY WAWERU KENYA imepokea kutoka kwa Shirika la Afya Duniani, WHO, msaada wa vifaa mbalimbali vya kuwakinga na kuwapunguzia...

Familia kupewa mafunzo namna ya kuzika wanaofariki kutokana na Covid-19

Na SAMMY WAWERU WIZARA ya Afya imesema itaanza kutoa mafunzo kwa familia za wanaofariki kutokana na maradhi ya Covid-19 ili wazikwe kwa...

COVID-19: Visa vipya 497 vyathibitishwa idadi jumla ikifika 10,791

Na SAMMY WAWERU KENYA kufikia Jumanne imeandikisha visa 497 zaidi vya Covid-19. Waziri Msaidizi kaika Wizara a Afya Dkt Mercy...

COVID-19: Visa jumla nchini Kenya vyafika 1,745

MAGDALENE WANJA na SAMMY WAWERU WIZARA ya Afya Ijumaa imetangaza visa 127 vipya vya Covid-19 baada ya sampuli 3,831 kufanyiwa vipimo...

Waliopona Covid-19 nchini waongezeka

Na MWANDISHI WETU IDADI ya waliopona ugonjwa wa Covid-19 nchini ilifika 402 Jumatatu baada ya watu wengine tisa kuthibitishwa kupata...