• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 6:55 PM

Makatibu: Spika Wetang’ula akunja mkia na kusitisha upigaji msasa Bungeni

NA CHARLES WASONGA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula amesitisha shughuli ya usaili wa makatibu wa wizara kufuatia agizo la...

Tutakupa kazi, Wetangula aambia Uhuru

NA BRIAN OJAMAA KIONGOZI wa chama cha Ford Kenya, Bw Moses Wetangula amemhakikishia Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta kuwa, serikali ya...

Weta sasa kuvumisha Ruto kikamilifu akisubiri kutetea kiti Bungoma

NA BRIAN OJAMAA KIONGOZI wa Ford Kenya, Jumapili aliidhinishwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kutetea kiti chake cha Useneta...

Farasi ni watatu 2022 – Wetang’ula asisitiza

JUMA NAMLOLA na BRIAN OJAMAA KINARA wa Ford Kenya Moses Wetang’ula sasa anadai kuwa kinyang’anyiro cha kuelekea uchaguzi wa 2022 ni...

Wanaotaka ugavana wamsuta Wetang’ula kupendekeza Lusaka

Na BRIAN OJAMAA WANASIASA wanaolenga kuwania ugavana Kaunti ya Bungoma, wamemtaka Seneta Moses Wetang’ula, kukoma kuelekeza wakazi...

Musalia na Weta watakiwa kusahau urais na kumuunga mkono Raila 2022

Na BRIAN OJAMAA WANDANI wa kinara wa ODM Raila Odinga katika Kaunti ya Bungoma sasa wanataka viongozi wa Magharibi kusitisha azma yao ya...

Wetang’ula awatetea majaji 5 kuhusu BBI

Na BRIAN OJAMAA KINARA wa chama Ford Kenya, Bw Moses Wetang’ula amewataka wanasiasa na Wakenya wakome kuwatusi majaji watano waliotoa...

Weta aanza kukabili waasi katika Ford-K

Na RUTH MBULA KIONGOZI wa chama cha Ford-Kenya, Bw Moses Wetang’ula, ameanza harakati kuwakabili maafisa wa chama hicho ambao wamekuwa...

Wetang’ula aanza kujipigia debe mapema kumrithi Uhuru 2022

Na GERALD BWISA KIONGOZI wa Chama cha Ford-Kenya, Bw Moses Wetang'ula ameanza kujipigia debe akimezea mate kiti cha urais...

Mzozo watokota ngazi ya juu uongozi wa Ford-Kenya

Na RICHARD MUNGUTI MZOZO wa uongozi wa chama cha Ford-Kenya umetokota Jumatano baada ya jopo la kuamua mizozo ya vyama vya kisiasa...