• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 11:33 PM

Ufugaji nyuni unavyompa kijana riziki

Na PETER CHANGTOEK TITUS Kiptoo, 27, alijitosa katika ufugaji wa mabatamzinga kama uraibu, lakini baada ya kuona faida ambayo ndege hao...

RIZIKI: Alipenda baiskeli utotoni, sasa ni fundi hodari wa baiskeli ukubwani

Na SAMMY WAWERU LEONARD Musula ni fundi hodari katika kukarabati na kurekebisha baiskeli zilizoharibika na pia kuzirembesha. Karakana...

Mfanyakazi wa zamani wa shirika lisilo la kiserikali aeleza anavyopenda kuimarisha jamii

Na SAMMY WAWERU BI Elizabeth Mutuku alihudumu katika Shirika moja lisilo la kiserikali (NGO) kati ya mwaka wa 2003 hadi 2018, ambapo...

RIZIKI: Atumia elimu, ujuzi wake wa ukulima kuwaelimisha wanawake

Na MISHI GONGO KATIKA eneo dogo la Vigujini eneobunge la Msambweni, Mwanasha Gaserego, 31, anatambulika kwa juhudi zake za kuwainua...

RIZIKI: Ukuzaji na uuzaji wa miche wafaidi vijana

Na PETER CHANGTOEK TAKRIBAN kilomita mbili kutoka kwa soko la Manyatta, kwenye barabara ya Manyatta-Kianjokoma, katika Kaunti ya...

RIZIKI: Maisha yanahitaji mja awe mbunifu

Na MARGARET MAINA [email protected] FRESHIER Mutheu, 41 alianza biashara yake ya kazi za sanaa katika mtaa wa Lanet, Nakuru...

RIZIKI: Mwalimu, mwokaji keki na mtengenezaji wa bidhaa za shanga

Na MARGARET MAINA [email protected] MWALIMU wa shule ya upili kwa sasa anaoka keki na kujihusisha na sanaa ya shanga kipindi...

Biashara ya mitego ya panya na ‘nyumba za kuku’ yasaidia vijana kukidhi mahitaji yao Nakuru

Na PHYLLIS MUSASIA HALI ya maisha kwa vijana wengi mjini Nakuru, ilikuwa kawaida hadi mapema Aprili janga la ugonjwa wa Covid-19...

Aligura kazi ngumu ya kuuza mashamba akaanzisha kampuni ya uchukuzi, sasa ni tabasamu tu

NA PETER CHANGTOEK LOISE Kamanu alikuwa ameajiriwa katika kampuni moja ya kuuza mashamba nchini kufanya shughuli ya uuzaji. Hata hivyo,...

RIZIKI: Kwa zaidi ya miaka 20 anategemea uchomeleaji wa bidhaa za vyuma

Na GEOFFREY ANENE MIAKA 23 iliyopita, Willis Obonyo alichoka kuajiriwa na akatumia ujuzi aliopata kutoka kampuni kadhaa kujitosa katika...

RIZIKI: Amejiendeleza kielimu kupitia vibarua, sasa ni mtaalamu wa masuala ya dawa

Na SAMMY WAWERU NI mwendo wa saa kumi na moja na nusu hivi za jioni na tunakutana na mwanadada Florence Njeri kwenye duka moja la kuuza...

RIZIKI: Habagui kazi licha ya kuwa mhitimu

Na SAMMY WAWERU MWANADADA huyu ni mhitimu wa mwaka 2012 lakini kufikia sasa analazimika kufanya kazi za juakali kwa sababu hajawahi...