• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 6:09 PM

Kiwanda cha Kibos hatarini kufungwa

Na CHARLES WASONGA SERIKALI itafunga kiwanda cha Sukari cha Kibos ikiwa itabainika kuwa kinaelekeza uchafu katika mto Kibos ambao ni...

Hisia mseto kuhusu pendekezo la kuunganisha kampuni za miwa

Na ELIZABETH OJINA PENDEKEZO la kuunganisha kampuni tatu za miwa katika eneo la Nyando limepokelewa kwa hisia mseto miongoni mwa wadau...

Wakuzaji miwa wakataa jopo la kufufua sekta

Na VICTOR RABALLA WAKULIMA wa miwa wameilaumu serikali wakidai imewapuuza katika majadiliano yanayoendelea kuhusu namna ya kuleta...

Jopo la kufufua sekta ya sukari kuanza vikao

Na VITALIS KIMUTAI MAGAVANA wa Kaunti zinazokuza miwa katika Magharibi mwa nchi, wiki hii wataandaa mikutano na viongozi waliochaguliwa,...

Malipo yaja, serikali yajaribu kutuliza wakulima wa miwa

Na SHABAN MAKOKHA WAKULIMA wa miwa ambao waliwasilisha miwa yao kwa viwanda vya sukari vinavyomilikiwa na serikali watalipwa fedha zao...

Rais kuelezea mbinu za kufufua sekta ya sukari nchini

Na LEONARD ONYANGO KUPOROMOKA kwa viwanda vya sukari katika maeneo ya Magharibi ni miongoni mwa masuala makuu ambayo Rais Uhuru Kenyatta...

HONGO BUNGENI: Barasa asema Fatuma Gedi alijaribu kumhonga kwa Sh10,000

Na CHARLES WASONGA WABUNGE waliofika mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu Mamlaka ya Hadhi walitoa kauli zilizokanganya kuhusu iwapo wenzao...

Sukari yote yenye nembo ya Mumias ni feki – Ripoti

Na BERNARDINE MUTANU  SUKARI yote yenye nembo...

Bei ya sukari kushuka

Na BERNARDINE MUTANU Bei ya sukari inatarajiwa kushuka baada ya serikali kuachilia magunia milioni 1.37 ya bidhaa hiyo. Sukari hiyo...

NGUGI: Tusipoteze dira tufuatiliapo masuala muhimu ya taifa

Na MWITHIGA NGUGI WIKI kadha zilizopita tulisikia minong’ono ya sukari hatari iliyoingizwa humu nchini kutoka taifa jirani. Kwa kasi...

Huenda Rotich na Bett wakashtakiwa kuhusu sukari

[caption id="attachment_8209" align="aligncenter" width="800"] Mbunge wa Lugari Ayub Savula (kati) akiwa na wenzake wakihutubia wanahabari...

Ongwae anaswa kuhusu mbolea feki, achunguzwa kwa sukari ya sumu

Na CHARLES WASONGA  MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Kukadiria Ubora wa Bidhaa (KEBS) Charles Ongwae Ijumaa alikamatwa kuhusiana na kashfa...