• Nairobi
  • Last Updated May 22nd, 2024 4:21 PM

Uhuru atandika Ruto 3-0

Na BENSON MATHEKA MPANGO wa Naibu Rais William Ruto (kwenye picha) kushindana na Rais Uhuru Kenyatta kudhibiti jiji kuu la Nairobi...

Uchaguzi wa Nairobi wasitishwa tena

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA kuu Alhamisi imetoa agizo la pili la kusitisha uchaguzi mdogo wa Ugavana Nairobi kufuatia kesi...

SAMMY WAWERU: Nairobi inahitaji gavana atakayeiletea hadhi ya kimataifa

Na SAMMY WAWERU Maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Nairobi kumchagua gavana wa tatu yameshika kasi, baada ya vyama vikuu nchini kuidhinisha...

Jubilee pazuri kutwaa ugavana Nairobi

Na LEONARD ONYANGO CHAMA cha Jubilee kimewaidhinisha wandani wa Rais Uhuru Kenyatta kupigania tiketi ya chama hicho kuwania ugavana...

Miguna aahidi kuzima ufisadi Nairobi

Na CHARLES WASONGA MWANASHERIA mbishani anayeishi uhamishoni Miguna Miguna ametangaza kuwa atawania kiti cha ugavana wa Nairobi katika...

LEONARD ONYANGO: Uchaguzi mdogo Nairobi ndio mtihani halisi kwa BBI na Ruto

Na LEONARD ONYANGO TANGU mwaniaji wa kujitegemea Feisal Bader – aliyekuwa akiungwa mkono na Naibu wa Rais William Ruto – kushinda...

Miguna amezea ugavana Nairobi licha ya visiki

NA WANGU KANURI WAKILI mbishi aliyenyimwa kibali cha kuingia nchini Kenya, Dkt Miguna Miguna, ametangaza kuwa atawania kiti cha ugavana...