• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 11:56 AM
AMINI USIAMINI: Ndege anayefahamika kama Pelegrine falcon ndiye anayepaa kwa kasi zaidi duniani

AMINI USIAMINI: Ndege anayefahamika kama Pelegrine falcon ndiye anayepaa kwa kasi zaidi duniani

NA MWORIA MUCHINA

PELEGRINE falcon (Falco peregrinus) ndiye ndege anayepaa kwa kasi zaidi duniani.

Huvamia mawindo yake kutoka juu angani na anaweza kuteremka kwa kupaa kwa mwendo wa kilomita 281.6 kwa saa!

Pia anaweza kutambua mawindo akiwa mita 305 juu angani.

Ndege huyu hatengenezi kiota ila hutumia kiota chochote kilichojengwa na ndege wengine wakubwa.

  • Tags

You can share this post!

Kundi la Kwanza: Wakenya 227 waenda kutekeleza ibada ya...

Paka mweusi amzuia jamaa aliyejaribu kuondoka dukani bila...

T L