• Nairobi
  • Last Updated May 22nd, 2024 5:30 PM
AMINI USIAMINI: Tandu wanaofahamika kama Giant centipedes

AMINI USIAMINI: Tandu wanaofahamika kama Giant centipedes

NA MWORIA MUCHINA

TANDU wanaofahamika kama Giant centipedes (Scolopendra gigantea), hutambaa kwenye sakafu za misitu wakitafuta mawindo kama mijusi, vyura, nyoka na viumbe wengine wadogo.

Wanaweza kukua hadi urefu wa futi moja.

Wana miguu 46 na inasemekana wameishi duniani kwa miaka milioni 450.

Zamani viumbe hawa walikuwa wakikua hadi urefu wa futi sita.

  • Tags

You can share this post!

Makazi ya Askofu wa Kanisa la Methodist yabomolewa Kilifi

Kenya kupimwa na Uganda, Afrika Kusini kwenye riadha za...

T L