• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:00 PM

Afueni kwa wavuvi kiwanda kikikamilika

Na KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wavuvi 6,000 katika Kaunti ya Lamu wamepata afueni baada ya ujenzi wa kiwanda cha samaki eneo hilo...

Wakurugenzi wapya wa KTDA hawajaanza kazi

Na VITALIS KIMUTAI WAKURUGENZI wapya wa Shirika la Ustawi wa Majanichai (KTDA) katika viwanda vilivyo kusini mwa Bonde la Ufa,...

Jaji Koome atwaa afisi muhimu akiahidi mageuzi

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Mkuu mpya Martha Koome ameapa kuhakikisha uhuru wa idara ya mahakama unazingatiwa na kutekelezwa, huku akiomba...

Uteuzi wa Kidato cha Kwanza waahirishwa

Na DAVID MUCHUNGUH WANAFUNZI waliofanya Mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) mnamo Machi mwaka huu, watalazimika kusubiri zaidi kabla ya...

Kampuni za mikate zaonywa dhidi ya kupotosha wateja kuhusu tarehe

Na Brian Ambani MAMLAKA ya Kudhibiti Ushindani wa Kibiashara (CAK), imetoa ilani kwa viwanda vya kuoka mikate kwa kuweka habari za...

Yaibuka raia wa Amerika aliteswa kisha kuuawa

Na MARY WAMBUI RIPOTI ya upasuaji wa mwili wa mfanyabiashara mwenye asili ya Kisomali na Amerika, Bashir Mohamoud, imefichua kwamba kifo...

Wavuvi kuishtaki serikali upya kuhusu fidia

Na KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wavuvi 4,000 walioathiriwa na mradi wa Bandari ya Lamu wanajiandaa kuelekea mahakamani wiki hii kuishtaki...

Utawala wa Sossion katika KNUT hatarini

Na SHABAN MAKOKHA UTAWALA wa Katibu Mkuu wa Muungano wa Walimu Kenya (KNUT) Wilson Sossion, sasa unaning’inia kwenye jabali baada ya...

Fumbo kuhusu mauaji ya mfanyabiashara Bashir

NA MARY WAMBUI MASWALI yanaendelea kuibuka iwapo mfanyabiashara Mohamud Bashir aliyeuawa katika hali ya kutatanisha, alikuwa akisakwa na...

Shughuli ya utoaji chanjo ya polio yazinduliwa Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO SHUGHULI ya utoaji chanjo ya polio imezinduliwa Kiambu. Waziri wa Afya wa Kaunti hiyo Dkt Joseph Murega, alisema...

Idadi ya vijana kwenye kilimo na ufugaji ni ya chini mno – tafiti za shirika

Na SAMMY WAWERU IDADI ya vijana wanaofanya shughuli za kilimo nchini ni ya chini mno, limesema shirika lisilo la kiserikali (NGO) kutoka...

Kisumu ingali juu kwa visa vipya vya corona

Na CHARLES WASONGA KAUNTI ya Kisumu inaendelea kuongoza katika idadi ya visa vya maambukizi ya Covid-19 inayorekodiwa katika kila moja...