• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 3:25 PM

Kilimo cha karakara kimemsaidia kufukuza uhawinde

Na SAMMY WAWERU Ili kuwa na afya na kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya mradhi watalaamu wa masuala ya afya wanahimiza umuhimu wa kula...

Wapata riziki tosha kwa kusaga lishe za mifugo

Na PETER CHANGTOEK NI siku ya Jumanne katika kitongoji cha Kithoka, katika Kaunti ya Meru, na sauti ya mashine ya kusaga lishe za mifugo...

Wakulima 1,000 waungana kutumia viazi vitamu kuoka mikate

Na PETER CHANGTOEK WAKULIMA wanaovikuza viazi vitamu katika eneo la Maua, Kaunti ya Meru, wana kila sababu ya kutabasamu, maadamu...

Kilimo cha pilipili hoho na nyanya kinalipa

  NA RICHARD MAOSI Changamoto kubwa inayoweza kuwakumba vijana wenye ari ya kuanzisha miradi ya kilimo, ni ukosefu wa mtaji wa...

Vijana 56,000 kufaidika na mkopo wa Sh800,000 kila vijana wawili

NA KEVIN ROTICH [email protected] Huku Kenya ikikabiliana na ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana, serikali na mashirika ya...

Mwalimu mwenye mikono ya dhahabu

Na Steve Mokaya Tangu kuzuka kwa gonjwa la COVID-19, maelfu ya watu humu nchini na hata kwingineko wamepoteza ajira zao. Wengi...

Ukuzaji wa miparachichi unamkimu kimaisha

Na SAMMY WAWERU Miaka miwili baada ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Masuala ya Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta (JKUAT), Boniface...

AKILIMALI: Matunda ya stroberi yatia ladha maisha yake ya uzeeni

Na RICHARD MAOSI KWA kutumia muda wa nusu saa hivi kutoka mjini Kiambu, Akilimali inazuru eneobunge la Gatundu na kukutana na Daniel...

Uvumbuzi wake unavyochangia kuimarisha taifa kiteknolojia

Na SAMMY WAWERU Ikiwa ndoto ya James Nyakera ya kuwekeza na kufaulu katika sekta ya ufumbuzi wa teknolojia ya kimawasiliano (ICT)...

‘Corona ilinisukuma kugeuza shule yangu vyumba vya kilimobiashara’

NA MWANGI MUIRURI BAADA ya kufundisha wanafunzi wa shule za msingi nchini kwa miaka 21, James Kung’u aliamua kugura kutoka ajira ya...

KUKU WA KIENYEJI: Mtaji mdogo ila pato ni maradufu

CHRIS ADUNGO na RICHARD MAOSI UTAFITI unaonyesha kuwa Kenya ina takriban kuku milioni 32 kwa jumla. Kinachopendeza hata zaidi ni kuwa...

Mchuuza maji sasa amiliki chuo cha urembo

Na SAMMY WAWERU Ukiuliza Samuel Karanja matunda, mazao au zawadi ya kutia bidii maishani, atakujibu bila kusita na kukupa motisha...