• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:00 PM

TAHARIRI: Heri ahadi chache zitimiazo, kuliko rundo la hewa

NA MHARIRI MSIMU wa ahadi ndio sasa unapamba moto huku wawaniaji kila pande wakitafuta mbinu kushawishi wapiga kura. Takriban kila...

TAHARIRI: Umekuwa msimu wa Ligi Kuu yenye pandashuka tele

NA MHARIRI KWA mara ya mwisho msimu huu timu za Ligi Kuu ya Soka (KPL) zitashuka dimbani kusakata mechi za kufunga msimu. Umekuwa msimu...

TAHARIRI: IEBC izibe mianya ya kutilia shaka uchaguzi

NA MHARIRI TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) inafaa kujihadhari sana katika maandalizi yake ya uchaguzi ujao ili yasije...

TAHARIRI: Tusifanyie suala la ardhi mchezo kama ilivyo sasa

NA MHARIRI HUKU tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti 9, wanasiasa wengi wamekuwa wakitoa ahadi nyingi watakazotimiza endapo...

TAHARIRI: Uteuzi: IEBC ifuate ushauri wa EACC kuhusu wanasiasa watiliwao shaka

NA MHARIRI WIKI chache zilizopita, Tum e Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ilinukuliwa ikisema itaamua hatima ya Kinara wa Wiper kalonzo...

TAHARIRI: Ni aibu kwa Haji na Kinoti kuwania ubabe raia wakilia

NA MHARIRI MVUTANO wa ubabe baina ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji na mwenzake wa Idara ya Uchunguzi wa Uhalifu...

TAHARIRI: Wanasiasa watumie kampeni kuelewa matatizo ya raia

NA MHARIRI TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) hatimaye imeanza rasmi kuwaidhinisha wawaniaji wa nyadhifa mbalimbali za kisiasa...

TAHARIRI: Tuwakatae wanasiasa wenye ndimi za chuki

NA MHARIRI MTINDO huu wa wanasiasa kujisahau wanapohutubia wafuasi wao kisha kuomba radhi baada ya kutoa matamshi ya uchochezi au...

TAHARIRI: Viongozi waache kuingiza siasa katika mambo yahusuyo sheria

NA MHARIRI MADAI yanayotolewa na wanasiasa kuhusu utumizi mbaya wa raslimali za umma ni ya kushangaza sana. Seneta wa Bungoma Moses...

TAHARIRI: Kuwe na mfumo wa kuwekeza zaidi katika elimu ya sekondari

NA MHARIRI IDADI kubwa ya watoto ambao wanashindwa kujiunga na shule za upili kwa ukosefu wa fedha kila mwaka, ni dhihirisho kuwa Kenya...

TAHARIRI: Afya ya uzazi kuhusu fistula itengewe pesa na mikakati

NA MHARIRI JUMATATU ya leo ina umuhimu mkubwa kwa Kenya. Ni siku ambapo Rais Uhuru Kenyatta anahudhuria mkutano wa 75 wa Baraza la...

TAHARIRI: Kongole kwa mashujaa wetu waliofana Brazil

NA MHARIRI TUNAWAPA pongezi tele mabingwa wa Olimpiki ya Viziwi mwaka huu ambao walirejea nyumbani mnamo Alhamisi kutoka jijini Caxias...