• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 9:50 AM

Mamaye Judy Wakhungu akamatwe – Mahakama

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Kuamua Kesi za Ufisadi Jumanne imeamuru mama ya aliyekuwa Waziri wa Mazingira Judy Wakhungu anayeshtakiwa...

Maafisa watatu wanaswa kwa ufisadi Kaunti ya Samburu

NA WAWERU WAIRIMU Maafisa wa upelelezi wa kukabiliana na ufisadi walikamata maafisa watatu wakuu wa kaunti ya Samburu kwa kutenga Sh8...

Mkurugenzi wa kampuni ya kuuza vipande vya ardhi ashtakiwa kwa ulaghai wa Sh4.5 milioni

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa kampuni moja ya kuuza vipande vya ardhi katika Kaunti ya Kiambu ameshtakiwa kwa kupokea kwa njia ya...

UFISADI: Waandamanaji Kisumu watisha kufunga ofisi za EACC

Na BRENDA AWUOR BAADHI ya wakazi wa Kaunti ya Kisumu wametisha kufunga ofisi za Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC)...

Utapeli ofisi kuu

Na VALENTINE OBARA KASHFA ya utapeli inayogusa afisi ya Naibu Rais William Ruto, inaendeleza mtindo wa watu mashuhuri na ofisi kuu...

Kanisa la ACK kupokea sadaka kwa M-Pesa kuzima ufisadi

Na KNA ASKOFU Mkuu wa Kanisa Anglikana (ACK) Jackson ole Sapit, amefichua mipango ya kanisa hilo kuanza kupokea sadaka kwa njia ya simu...

Raila akemea ufisadi kanisani

CAROLINE WAFULA NA DICKENS WASONGA KIONGOZI wa chama cha ODM, Bw Raila Odinga, Ijumaa alikemea vikali viongozi wanaotumia pesa...

Pesa zinazomwagwa wakati wa kampeni zaiponza Kenya

Na MARY WANGARI KENYA imerudi nyuma kwa alama moja kuhusiana na vita dhidi ya ufisadi ambapo imeorodheshwa nambari 137 miongoni mwa...

EU yamuunga mkono Rais wafisadi waadhibiwe vikali

Na VALENTINE OBARA MUUNGANO wa Ulaya (EU) umeunga mkono wito wa Rais Uhuru Kenyatta kutaka washukiwa wa ufisadi walioshtakiwa,...

Umma unateseka sababu ya ufisadi – Wetang’ula

Na GAITANO PESSA SENETA wa Bungoma Moses Wetang'ula amewakashifu baadhi ya magavana kuhusu ufisadi katika kaunti zao, akisema...

KUMBUKUMBU 2019: Magavana watatu waanza mwaka mpya wakiwa nje ya ofisi

Na RICHARD MUNGUTI MAGAVANA watatu wanauanza mwaka huu wakiwa hawawezi kukanyanga afisini kutokana na kesi za ufisadi wa mamia ya...

WANDERI: Rais binafsi ajipe jukumu la kuzima ufisadi

Na WANDERI KAMAU AGIZO la Rais Uhuru Kenyatta kuwa maafisa wa serikali hawapaswi kujiingiza katika biashara ama utoaji huduma...