• Nairobi
  • Last Updated February 25th, 2024 10:30 AM
Ndege yapata panchari ikitaka kupaa Manda

Ndege yapata panchari ikitaka kupaa Manda

NA KALUME KAZUNGU

NDEGE ya kibinafsi yakwama katika uwanja wa ndege wa Manda wakati ikijiandaa kupaa baada ya tairi kupata panchari.

Abiria katika ndege hiyo wamelazimika kuchelewesha safari yao.

 

  • Tags

You can share this post!

Muchai aliuawa na jambazi sugu chini ya dakika moja,...

Mahakama yaipiga breki serikali kuuza KICC, mashirika...

T L