• Nairobi
  • Last Updated May 6th, 2024 8:55 PM

KAULI YA MATUNDURA: Ni kweli neno ‘mzungumzishi’ halifai kwa maana ya‘spika’ lakini seneta Zani ana hoja

Na BITUGI MATUNDURA JUZI JUZI seneta maalumu, Dkt Agnes Zani, alimtaja Spika wa Bunge la Seneti Bw Ken Lusaka kuwa ‘mzungumzishi’...

KAULI YA MATUNDURA: Matumizi ya Kiswahili na wageni si kigezo faafu cha kupima thamani ya lugha hiyo

Na BITUGI MATUNDURA KATIKA gazeti la Daily Nation toleo la Julai 11, 2019, kulikuwa na habari kwamba mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo na...

KAULI YA MATUNDURA: Kila binadamu ana upekee ambao hauwezi kujazwa na mtu mwingine

Na BITUGI MATUNDURA NILIPOKUWA mwanafunzi wa shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Maseno mnamo miaka ya 1990, mwalimu wangu wa somo...

KAULI YA MATUNDURA: Maneno ‘benki’na ‘banki’ hayakufaa kuibua mitanziko yoyote, yote mamoja

Na BITUGI MATUNDURA MNAMO 2010, Kampuni ya Uchapishaji wa Vitabu – Longhorn Publishers Limited, Nairobi - ilinishirikisha katika mradi...

KAULI YA MATUNDURA: Nilivyomrai Prof Senkoro kuitoa upya riwaya yake ya ukombozi ya Mzalendo iliyochapishwa na Shungwaya 1977

Na BITUGI MATUNDURA HIVI majuzi, katika pekuapekua ya maktaba yangu, nilipata riwaya ya Mzalendo (Shungwaya Publishers, 1977)...

KAULI YA MATUNDURA: Urasmishaji wa Kiswahili nchini Rwanda badala ya Kifaransa hauna upya wowote

Na BITUGI MATUNDURA JUMA lililopita, wabunge wa Rwanda waliidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi na ‘kuitupilia mbali’ lugha ya...

KAULI YA MATUNDURA: Huu ndio mtazamo wa mwandishi Ayi Kwei Armah kuhusu sanaa ya uandishi wa kubuni

Na BITUGI MATUNDURA MNAMO Januari 2005 nilihudhuria mhadhara wa mwandishi Ayi Kwei Armah wa Ghana kwenye ukumbi wa Taifa Hall, Chuo Kikuu...

KAULI YA MATUNDURA: Mchango wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Fasihi Tafsiri ya Kiswahili

Na BITUGI MATUNDURA MNAMO Oktoba 2007 mtaalamu wa sheria na mwanaharakati Prof Issa Shivji alihojiwa na gazeti la "Mwananchi" la...

KAULI YA MATUNDURA: Yasikitisha wanafunzi wa kisasa vyuoni kustahabu njia za mkato katika maisha

Na BITUGI MATUNDURA KATIKA takriban kipindi cha mwongo mmoja ambacho nimefundisha fasihi katika chuo kikuu, nimeshuhudia matatizo mengi...

KAULI YA MATUNDURA: Wataalamu wa Kiswahili wagaragazana kuwania nyadhifa uchaguzi wa Chaukidu

Na BITUGI MATUNDURA JUMA lililopita, Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) kilicho na makao makuu katika Chuo Kikuu cha...

KAULI YA MATUNDURA: Mchango wa Wachina katika makuzi ya Kiswahili

Na BITUGI MATUNDURA JUMA lililopita, mtaalamu – Dkt Caesar Jjingo wa Chuo Kikuu cha Makerere alizua mdahalo kwenye ukumbi wa WhatsApp wa...

KAULI YA MATUNDURA: Athari ya lugha za kigeni kwa Kiswahili

Na BITUGI MATUNDURA MOJAWAPO ya vipengee muhimu ambavyo mwalimu na mwanafunzi wa isimujamii anahitajika kujua ni historia ya...