• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 10:44 AM

Maskwota walia kutelekezwa na serikali ya kaunti

NA KALUME KAZUNGU MGOGORO unazidi kutokota kati ya serikali ya kaunti ya Lamu na wakimbizi wa ghasia za Shifta eneo hilo kufuatia kile...

Korti yawaamuru maskwota kulipa bwanyenye Sh700,000

Na PHILIP MUYANGA MASKWOTA walioshtakiwa kwa kuvamia kipande cha ardhi cha ukubwa wa ekari 30 kilicho katika Kaunti ya Kilifi,...

Faraja wakazi kupata haki baada ya miaka 50

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wanaoishi kwa ardhi ya Gachagi mjini Thika, walipata haki yao baada ya mahakama moja ya Thika kuwaruhusu...

Maskwota waililia serikali iwazime wanaomezea ardhi yao mate

NA KALUME KAZUNGU MASKWOTA wapatao 10,000 kutoka vijiji 19 vya tarafa ya Hindi, Kaunti ya Lamu Jumatano waliandamana kwenye barabara za...

2018: Mwaka wa masaibu tele kwa Prof Swazuri

NA FAUSTINE NGILA MWAKA huu umekuwa na changamoto si haba kwa aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Ardhi nchini (NLC) Prof Muhammad Swazuri,...

Taharuki Malindi maskwota wakijigawia shamba

Na CHARLES LWANGA TAHARUKI imetanda katika shamba la ekari 900 la ukulima la ADC huko Kisiwani eneo la Sabaki, Kaunti ya Kilifi baada ya...

Maskwota kunufaika na ekari 250 za ardhi

Na LUCY MKANYIKA MATUMAINI ya maskwota wa eneo la Singila-Majengo kupata maelfu ya ekari za ardhi ya shamba la makonge la Teita...