• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 4:54 PM

Kotut atawala mbio za Italia baada ya ukame wa miaka 3

Na GEOFFREY ANENE BINGWA wa zamani wa Paris Marathon, Cybrian Kotut alinyakua taji la mbio za Florence (Firenze) Marathon nchini Italia...

Wasichana chipukizi wa ACUWM watamba mbio za nyika

Na ABDULRAHMAN SHERIFF JOSEPHINE Sampaiyo aliwaongoza wasichana wenzake watatu wa kambi ya riadha ya Athletics Camp Under White Moutain...

Kivumbi kati ya Rotich na Kinyamal mbio za Relays zikiingia mkondo wa lala salama

Na AYUMBA AYODI Kivumbi kinatarajiwa wakati wanariadha nyota Ferguson Rotich na Wycliffe Kinyamal watakutana katika mchujo wa duru ya...

Mbio za Nyika za Pwani kufanyika Wundanyi Jumamosi

NA ABDULRAHMAN SHERIFF MWANARIADHA Mkenya aliye Marekani, Panuel Mkungo amewasili nchini kuiwakilisha timu ya nyumbani kwao ya Taita...

Festus Mwoki ashinda mbio za nyika za Pwani

NA ABDULRAHMAN SHERIFF FESTUS Mwoki alitumia muda wa dakika 30 nukta 05 na kuibuka mshindi wa Mbio za Nyika za Kaunti ya Mombasa za...

Wenyeji watawala mbio za Great Ethiopian Run, Wakenya watupwa nje

Na ELIAS MAKORI (akiwa Addis Ababa) WENYEJI Waethiopia waliendeleza ubabe wao katika mbio za kilomita 10 za Great Ethiopian Run...

Kenya yatenga mamilioni kufanikisha vita dhidi ya pufya

GEOFFREY ANENE na MASHIRIKA KENYA imetenga Sh17 milioni kufanikisha vita dhidi ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli kwa timu ya taifa...

Kamworor kuongoza kikosi cha nusu marathon Poland

Na MWANDISHI WETU BINGWA mtetezi Geoffrey Kamworor na mshindi wa nishani ya shaba katika mbio za kilomita 21 duniani, Pauline Kaveke...

2019: Kenya ilisalia kwenye ‘meza ya wazee’ tena Riadha za Dunia  

Na GEOFFREY ANENE KWA mara ya pili mfululizo, Kenya ilidhihirisha ubabe kwenye riadha ilipomaliza katika nafasi ya pili kutoka orodha ya...

Chepng’etich ange kuhifadhi ubingwa wa mbio za mita 1,500 duniani

Na CHRIS ADUNGO FAITH Chepng’etich Kipyegon na Winny Chebet wataelekezewa macho ya karibu hii leo Jumamosi watakaposhuka ulingoni kwa...

LEO VIPI? Kenya uwanjani leo Ijumaa kutetea hadhi ya mbio za viunzi

Na GEOFFREY ANENE REKODI safi ya wanaume wa Kenya katika mbio za mita 3,000 kuruka viunzi na maji katika makala ya 17 ya Riadha za Dunia...

Kenya kuwa mwenyeji wa mashindano ya mbio za dunia za magari

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta, Ijumaa ametimiza mojawapo ya ahadi zake kuu kwa Wakenya alipotangaza kuwa mashindano ya magari...